Tips: How to start a company

CONTROLA naomba upite maeneo haya udondoshe neno mkuu. Unauzoefu sana kwenye hii tasnia.
Hii kitu inahitaji thread ya peke ake mkuu yenye kujitegemea,maana ina uchambuzi mwingi ambao mtu anatakiwa ausome point kwa point mpk akimaliza ndio ajipime mwenyewe (ana fit au ha fit) kuanzisha kampuni ktk taifa letu hili.

changamoto ni nyingi,faida ni nyingi pia ni lazima vyote tuviweke wazi mtu aamue mwenyewe anafanyaje ili anapoamua kusema nataka "kampuni" ajue anaongelea kitu ya namna gani na atakutana na vitu gani.

kuweka jibu la hii kitu kwenye comment itakua n kunyima wengi elimu ya bure ninayoamuaga itoa hapa,uzi huu n wa 2015 ni ngumu sana kuuupeperusha uonekane na watu wengi kama uzi utakaofunguliwa leo au kesho.

Jibu la hii kitu nitalishusha tu siku 1 kulingana na uzoefu wangu na mapito yangu ya huko nilipopita mpk nilipofikia (kwa mimi kama mimi) kisha mtu aamue mwenyewe kupita nilipopita mimi au apite njia yake mpya kuepukana na yale yaliyonikuta.NK
 
Ungeweka tu kwa ufupi kama hutojali
 
Okey ngoja nikucheki pm,
 

Nakuelewa sana mkuu, sikuku tag kwa bahati mbaya, naelewa uzoefu wako na hua napitia elimu ya biashara unayoitoa hapa jukwaani nikajiridhisha kabisa kwamba ipo tofauti ya mtu anaesema anajua kitu na yule anaekwambia anajua kwa sababu anakifanya na ana uzoefu wa anachokielezea, wewe unajua na kukifaham unachokielezea.

Naamini huo uzi wako utagusa wengi.

Barikiwa sana mkuu.
 
Biashara yyte ninrahisi ukijua wateja wako. Je ww unawajua!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…