CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
Hii kitu inahitaji thread ya peke ake mkuu yenye kujitegemea,maana ina uchambuzi mwingi ambao mtu anatakiwa ausome point kwa point mpk akimaliza ndio ajipime mwenyewe (ana fit au ha fit) kuanzisha kampuni ktk taifa letu hili.CONTROLA naomba upite maeneo haya udondoshe neno mkuu. Unauzoefu sana kwenye hii tasnia.
changamoto ni nyingi,faida ni nyingi pia ni lazima vyote tuviweke wazi mtu aamue mwenyewe anafanyaje ili anapoamua kusema nataka "kampuni" ajue anaongelea kitu ya namna gani na atakutana na vitu gani.
kuweka jibu la hii kitu kwenye comment itakua n kunyima wengi elimu ya bure ninayoamuaga itoa hapa,uzi huu n wa 2015 ni ngumu sana kuuupeperusha uonekane na watu wengi kama uzi utakaofunguliwa leo au kesho.
Jibu la hii kitu nitalishusha tu siku 1 kulingana na uzoefu wangu na mapito yangu ya huko nilipopita mpk nilipofikia (kwa mimi kama mimi) kisha mtu aamue mwenyewe kupita nilipopita mimi au apite njia yake mpya kuepukana na yale yaliyonikuta.NK