Tips lounge na dada zetu wa vyuo

Dah kuna watoto wa hii Hostel ya Qurantine wanapigika jamani hadi huruma. Kama una mdogo wako wa kike yupo chuo make sure unamhudumia

Na dogo langu la kike huwa nahikisha kila week namtumia pesa ya maana asifanye huu ujinga
 
Kumbe hata nikija na jiwe moja kama lile la Saniniu Laizer bado utasema noooo...

Au utasema nafikiri tuambatane tu kuelekea uendako.
Uwiiiiiiiiiiiiiih kwangu ni noooooooooooh.
 
Mbona wewe unaliwa kiboga?! Hautaki bright future
Hapa wanazungumziwa wanachuo wa kike wanaojiuza, sasa wee hiyo mada yako inakujaje? Na hata km ikiwa kweli kadri ya usemavyo but SIJIUZI. tujikite kweny kuwakomboa wasichana wadogo.
 
Na mabinti wanaojitongozesha kwa vibopa unawashauri nini ?
Hakuna hicho kitu cha kujitongozesha, na hata km n kweli kwann hao wazee wasikatae na kuwapa maonyo juu ya maisha ktk kutimiza future zao, maan n Taifa la kesho, wazee wawe na busara na hofu ya Jah, hizo pesa zao wafanyie kitu kingine sio kuharibu kizazi cha kesho aaaaaaah.
 
Hapa wanazungumziwa wanachuo wa kike wanaojiuza, sasa wee hiyo mada yako inakujaje? Na hata km ikiwa kweli kadri ya usemavyo but SIJIUZI. tujikite kweny kuwakomboa wasichana wadogo.
Sawa! Ila kuliwa kiboga kunachangia sana maambukizi ya magonjwa ya zinaa.
 
Mbuzi anayejileta kwa muuza supu anakataliwa vipi ?
Angekuwa under age hapo sawa
 
Sawa! Ila kuliwa kiboga kunachangia sana maambukizi ya magonjwa ya zinaa.
Kwahiyo wanaopata maambukizi n hao tu unaowalenga? Maambukizi anapata yeyote yule afanyaye uzinifu usio salama na vitendo hatarishi pasipo kuzingatia kanuni za afya,

Mie kufanya hivyo kadri ya usemavyo, sio halalisho la wanafunzi wa kike wa chuo kujiuza au wazee kuwarubuni watoto wadogo, hisia n dhamana ya muhusika hapaswi kuingiliwa wala kuzuiliwa, kila mtu a deal kweny mlengo wa hisia zake.

Tujadili mada iliyopo mezani ili kuwakomboa mama, shangaz, bibi, wake, wa wakati wa kesho.
 
Mbuzi anayejileta kwa muuza supu anakataliwa vipi ?
Angekuwa under age hapo sawa
Hii logic ya kusema under age ndio maan hali imekua mbaya kiasi hiki, maana tunaamin mtu akishafika 18yrs bas n mtu mzma, hali ya kuwa uhalisia hauko hivyo, ifike mahali fikra pevu na mitazamo mathubuti iwepo akilini mwetu,

Imagine mtoto yuko 19s labda yuko 4m 5 huyu anakwepa vipi mtego wa mtu mwenye 60s tena ana chambo haswaaa kwa namna yeyote hawezi kuruka kihunzi, narudia tena km tatizo n watoto kujirahisisha basi n muda muafaka wa wazee na watu wazima kuwa kidete ktk kuwalinda na kuwasaidia ktk kutimiza future zao na sio kuwaharibu.
 
I am not so much into politics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…