Tips lounge na dada zetu wa vyuo

Tips lounge na dada zetu wa vyuo

Yesu anaokoa wapendwa wanaJF. Vilevile dhambi inaua, dhambi ikikomaa inazaa mauti.

Tuiepuke mauti ya dhambi kwa kuitambua kazi ya msalaba maana kwa kupigwa kwake sisi tumepona
 
Yesu anaokoa wapendwa wanaJF. Vilevile dhambi inaua, dhambi ikikomaa inazaa mauti.

Tuiepuke mauti ya dhambi kwa kuitambua kazi ya msalaba maana kwa kupigwa kwake sisi tumepona
uwe na dhambi usiwe na dhambi kufa koko pale pale .. usipotoshe hapo

hayo mengine nakubaliana nawe
 
Hata km ifike mahali hawa wazee wawe na busara na hofu ya Mungu, hizo pesa zao hazina thamani kuliko utu wa watoto hawa teenager, wanachosha kwakweli hali n mbaya kabisaa wao muda wao umeisha wawpishe wengine wafurahie wakati wao. Kila mtu ashinde match zake ama neneeeh, damon lol

Nimekupenda bure cocastic, kuanzia leo sijui nijiite pepstic au fantastic!! lipi tutaendana?

Kumbuka mimi sirubini mtu, nikapata nyongeza nampelekea mhitaji kama yatima na mjane ama mgonjwa.
 
[emoji28]Mungu alituweza sanaa kuuweka huu ugonjwa sehemu mbayaa hivii, ebu ona wale wa toto wa kidimbwi pale, fanya kama unakuja tips hivi...., kupona ni ngumu sana chief, Mungu atuongoze tu.

Kidimbwi nako ni shidaa mzee[emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Taratibu Boss sikumaanisha kuwa usipofanya dhambi hutakufa....mauti au kufa huku ni kupana sana. Inaweza ikawa mauti au kufa kwa kitu ndani yako ungali unaishi ktk mwili...mfano upendo, karama fulani au uwajibikaji. Lakini pia waweza kufa mazima kimwili...mfano kengele ikichovya kwenye kipochi manyoya yaweza pata ngoma itakayokupelekea kufa au mtarimbo ukazama kwenye papuchi iliyosajiliwa kihalali na kumilikiwa na mtu...mara paap ukafumaniwa ukauliwa.
Ngoma sii lazima ije kwa njia hiyo , upendo au karama vinaweza kufa kwa njia nyingi mno, hata kukatishwa taama tu vikafa

nyoosha mapito yako, hilo tu linatosha, hayana mengine hayana formula yeyote ya kuyakabili, yanakuja kwa njia tofaut tofaut
 
Wauze hiyo kwioooooh? Uwiiiiiiiih leo nmechukia sana aaaah [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa kwahiyo wewe nikikuomba uniuzie utakataa? Au utanipa free?

California love
 
Nimekupenda bure cocastic, kuanzia leo sijui nijiite pepstic au fantastic!! lipi tutaendana?

Kumbuka mimi sirubini mtu, nikapata nyongeza nampelekea mhitaji kama yatima na mjane ama mgonjwa.
Uwiiiiiiiiiiiiiiiii chukua hii [emoji116][emoji116]
@novidastic
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na dogo langu la kike akiomba pesa hta kama sina ntakopa nmtumieee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora ufanye hivyo upunguze lawama mkuu, hata siku inatokea la kutokea we ulishatimiza wajibu, hawa wadogo zetu shida hawajui kuridhika na hali zao.
 
Aaaah luvieeeh wee mwenyewe unajua navopenda pesa? Ila zako sio za wazee. Uwiiiiiiiiiiih [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaaah sawa sawa , ntajitahid kukuhonga

California love
 
Back
Top Bottom