Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uwe na dhambi usiwe na dhambi kufa koko pale pale .. usipotoshe hapoYesu anaokoa wapendwa wanaJF. Vilevile dhambi inaua, dhambi ikikomaa inazaa mauti.
Tuiepuke mauti ya dhambi kwa kuitambua kazi ya msalaba maana kwa kupigwa kwake sisi tumepona
Hata km ifike mahali hawa wazee wawe na busara na hofu ya Mungu, hizo pesa zao hazina thamani kuliko utu wa watoto hawa teenager, wanachosha kwakweli hali n mbaya kabisaa wao muda wao umeisha wawpishe wengine wafurahie wakati wao. Kila mtu ashinde match zake ama neneeeh, damon lol
[emoji28]Mungu alituweza sanaa kuuweka huu ugonjwa sehemu mbayaa hivii, ebu ona wale wa toto wa kidimbwi pale, fanya kama unakuja tips hivi...., kupona ni ngumu sana chief, Mungu atuongoze tu.
[emoji3][emoji3]Kwani hizo pesa wana shikishwa kwa lazima mkuu??
Ngoma sii lazima ije kwa njia hiyo , upendo au karama vinaweza kufa kwa njia nyingi mno, hata kukatishwa taama tu vikafaTaratibu Boss sikumaanisha kuwa usipofanya dhambi hutakufa....mauti au kufa huku ni kupana sana. Inaweza ikawa mauti au kufa kwa kitu ndani yako ungali unaishi ktk mwili...mfano upendo, karama fulani au uwajibikaji. Lakini pia waweza kufa mazima kimwili...mfano kengele ikichovya kwenye kipochi manyoya yaweza pata ngoma itakayokupelekea kufa au mtarimbo ukazama kwenye papuchi iliyosajiliwa kihalali na kumilikiwa na mtu...mara paap ukafumaniwa ukauliwa.
tiGo wanatoa?
Yesu anaokoa wapendwa wanaJF. Vilevile dhambi inaua, dhambi ikikomaa inazaa mauti.
Tuiepuke mauti ya dhambi kwa kuitambua kazi ya msalaba maana kwa kupigwa kwake sisi tumepona
Hahaaa kwahiyo wewe nikikuomba uniuzie utakataa? Au utanipa free?Wauze hiyo kwioooooh? Uwiiiiiiiih leo nmechukia sana aaaah [emoji23][emoji23][emoji23]
Uwiiiiiiiiiiiiiiiii chukua hii [emoji116][emoji116]Nimekupenda bure cocastic, kuanzia leo sijui nijiite pepstic au fantastic!! lipi tutaendana?
Kumbuka mimi sirubini mtu, nikapata nyongeza nampelekea mhitaji kama yatima na mjane ama mgonjwa.
Bora ufanye hivyo upunguze lawama mkuu, hata siku inatokea la kutokea we ulishatimiza wajibu, hawa wadogo zetu shida hawajui kuridhika na hali zao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na dogo langu la kike akiomba pesa hta kama sina ntakopa nmtumieee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uso tyuuh kwan? Had mwili ukawa una vibrate km nmepigwa short aliyosingiziwa mercy mukandara. Uwiiiiiiiih lolKama nakuona uso ulivyokushuka mpwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Aaaah luvieeeh wee mwenyewe unajua navopenda pesa? Ila zako sio za wazee. Uwiiiiiiiiiiih [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaaa kwahiyo wewe nikikuomba uniuzie utakataa? Au utanipa free?
California love
😂😂aiseeee! ukome sasa, acha watu waufaidi mji.Uso tyuuh kwan? Had mwili ukawa una vibrate km nmepigwa short aliyosingiziwa mercy mukandara. Uwiiiiiiiih lol
Waufaidi mji hiyo kwemaaaah? Uwiiiiiiiih mji mzito huuu khaaaah.[emoji23][emoji23]aiseeee! ukome sasa, acha watu waufaidi mji.
Bora ufanye hivyo upunguze lawama mkuu, hata siku inatokea la kutokea we ulishatimiza wajibu, hawa wadogo zetu shida hawajui kuridhika na hali zao.
😂😂😂 daaah!Waufaidi mji hiyo kwemaaaah? Uwiiiiiiiih mji mzito huuu khaaaah.
Akili kichwani mwake hapo mkuu 🤝🏻🤝🏻Naunga hoja mkuu ila nilishamwambia awe makini
Aaaah sawa sawa , ntajitahid kukuhongaAaaah luvieeeh wee mwenyewe unajua navopenda pesa? Ila zako sio za wazee. Uwiiiiiiiiiiih [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3590][emoji7][emoji177][emoji39][emoji39]Aaaah sawa sawa , ntajitahid kukuhonga
California love