Huu ni uzi wa kuelezea tu kuhusu mambo local yanayoonekana kuwa yana asilimia flani za ukweli.
1.Ukiwa unaenda safari kumuona mtu njiani ukakutana na mwanamke hakika mtu unaemfuata kumuona hautomkuta kamwe
2. Ukiwa unaenda kuchukua pesa yako kwa mtu ukakutana na mtu kabeba mzigo hakika hautapata pesa yako kwa yule mtu ata kama alikuahidi siku iyo
3. Ukizoea Kula uku umelala kitandani kunguni wakija ndani kwako hawatotoka kirahisi.
Karibuni wana jamii uongezee na wewe hizi Tips ili tupate kufahamu.