Tips ndogo ndogo zitazokupa mwongozo

Tips ndogo ndogo zitazokupa mwongozo

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Huu ni uzi wa kuelezea tu kuhusu mambo local yanayoonekana kuwa yana asilimia flani za ukweli.


1.Ukiwa unaenda safari kumuona mtu njiani ukakutana na mwanamke hakika mtu unaemfuata kumuona hautomkuta kamwe

2. Ukiwa unaenda kuchukua pesa yako kwa mtu ukakutana na mtu kabeba mzigo hakika hautapata pesa yako kwa yule mtu ata kama alikuahidi siku iyo

3. Ukizoea Kula uku umelala kitandani kunguni wakija ndani kwako hawatotoka kirahisi.


Karibuni wana jamii uongezee na wewe hizi Tips ili tupate kufahamu.
 
Mdomo ukitingishika ujue utagombana na mtu

Ukipita njia ukajikwaa mguu wa kushoto hadi kukata ndala badilisha njia au hairisha safari
 
Back
Top Bottom