Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dem unakulaa unabaki na harufu yake Kwa mwili wikii mpk ukaoge maji ya Bahar ndio harufu itokee[emoji23][emoji23][emoji23]Vikuku vya kienyeji,UTI za kutosha,shombo za Kila aina,pombe zote feki mpaka za china.
Ili jina unaona nipo wapi!Unaizungumzia tiptop ya zamani
Nenda ukaione sasa
Tabata sehemu gani tamu kwa sasa?Kabisa niache lula Bata Tabata na Sinza niende Tiptop
Hapo chamazi umeisahau KAPAKASAVOY BUZA
SUNSET YOMBO
GARIMBO CHAMAZI
SCORPION CHAMAZI
MIKUMI CHAMAZI
KISUMA 5G TEMEKE
GATE WAY KIJICHI
hapo kuna balaa muda wote dada zetu wale wauza sukari wamejaa hapoTiptop bar wameikalabati sasa imekua nzuri inapendeza Sana ,Jana nilikua tiptop mine enyoy Sana usiku wa malaika band kila jumanne
Wadau mnaionaje tiptop sasa baada ya kuikalabati
ajafika huyo siku nyingi sasa hivi ya kishua kabisaUnaizungumzia tiptop ya zamani
Nenda ukaione sasa
wapi hapo mkuuHebu njoo hapa kwa neema kumekucha ili usiende tena huko majalalan