Tipwa tipwa

Tipwa tipwa

mluga

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
676
Reaction score
215
Wapenzi wa tipwa tipwa, vitu hivi mnasemaje?
 
Attachments

  • haya.jpg
    haya.jpg
    29.5 KB · Views: 1,044
mhhh!wake wa weusi wengi walio nje ya Africa.
 
Hawana mvuto kabisa. Labda kwa ajiri ya kupatia viza ya kwenda Ulaya mtoto wa magomeni ntajitosa.
 
utapata ila ni mateso bila chuki,maana njiani litataka ushow love watu weweeee,utavaa mawani meusi hata winter🙂
 
duh hata kama una shida na hayo makaratasi,lakini hapa itabidi uwe na roho ngumu kama jiwe kuweza kustahimili maisha ya pamoja ya kila siku si chini ya miaka 2 na bibie kama hawa.Labda huyo wa kulia kidoogo,lakini hata naye pia duh,imagine kwanza ni interracial relationship,public iko curious kuwaona kwanza kwa sababu ya tofauti ya rangi zenu tu,halafu ndiyo na hili bwanyenye mna hold hands mtaani mchana kweupee duh.
 
hayajakufika tunawaona mitaani kila siku
 
Shosti,i feel it na yalishanifika sana,sema niliya handle kivingine mpaka yakaisha na nilifanikiwa kupata nilichokitaka,na nimesharudi kwetu kijijini magamba
 
Back
Top Bottom