Tisa December. ...!!!!

Tisa December. ...!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Ni moja ya siku ambazo sitazisahau maishani mwangu. Kwa mara ya kwanza niliveshwa pingu katika maisha yangu na kuswekwa rumande. Nimexperience jail life for first time na nashukuru nimetoka jana. Sitaki kuongelea sana what happened Lakin word of advice, usije ukamuamini mtu kupita kiasi hata kama ni ndugu yako. Glad to be back
 
Angalau sasa ulienda kuonja Ugali maharage, kuliko vile vyakula vyako na vinywaji unatupia huku kila siku.

Pole sana.
 
Wewe hujaenda jela bali selo ya polisi tu hiyo ni kama reception, ukifika kule lupango ndo ungejua thaman ya uhuru, ukifika unavuliwa nguo zote unaambiwa kunya pale ili waone endapo umeficha kitu matakoni, yani ni udhalilishaji uliopita maelezo!
 
Duuh,.
 
Mkuu nimekaa rumande wiki tatu
 
Ni moja ya siku ambazo sitazisahau maishani mwangu. Kwa mara ya kwanza niliveshwa pingu katika maisha yangu na kuswekwa rumande. Nimexperience jail life for first time na nashukuru nimetoka jana. Sitaki kuongelea sana what happened Lakin word of advice, usije ukamuamini mtu kupita kiasi hata kama ni ndugu yako. Glad to be back
Pole mkuu....tumemiss picha zako za bata. Ilikuwaje ukaswekwa lupango?
 
Back
Top Bottom