donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Ni moja ya siku ambazo sitazisahau maishani mwangu. Kwa mara ya kwanza niliveshwa pingu katika maisha yangu na kuswekwa rumande. Nimexperience jail life for first time na nashukuru nimetoka jana. Sitaki kuongelea sana what happened Lakin word of advice, usije ukamuamini mtu kupita kiasi hata kama ni ndugu yako. Glad to be back