donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Duuh,.Wewe hujaenda jela bali selo ya polisi tu hiyo ni kama reception, ukifika kule lupango ndo ungejua thaman ya uhuru, ukifika unavuliwa nguo zote unaambiwa kunya pale ili waone endapo umeficha kitu matakoni, yani ni udhalilishaji uliopita maelezo!
Shukran mkuuNafsi yako tu ndo ya kuiamini
Pole mkuu ndo tunajifunza kuishi nao
Daaah kaka acha tuAngalau sasa ulienda kuonja Ugali maharage, kuliko vile vyakula vyako na vinywaji unatupia huku kila siku.
Pole sana.
Asante sana mkuuPole mkuu
Asante sana mkuuPole sana mkuu!dunia imeisha!jiamini mwenyewe tuh!
Mkuu nimekaa rumande wiki tatuWewe hujaenda jela bali selo ya polisi tu hiyo ni kama reception, ukifika kule lupango ndo ungejua thaman ya uhuru, ukifika unavuliwa nguo zote unaambiwa kunya pale ili waone endapo umeficha kitu matakoni, yani ni udhalilishaji uliopita maelezo!
Duh pole sana mkuu nishafika kule huwezi kutamani mwingine yeyote aonje maisha yale.Mkuu nimekaa rumande wiki tatu
Asante mkuu kwel acha tuDuh pole sana mkuu nishafika kule huwezi kutamani mwingine yeyote aonje maisha yale.
Pole mkuu....tumemiss picha zako za bata. Ilikuwaje ukaswekwa lupango?Ni moja ya siku ambazo sitazisahau maishani mwangu. Kwa mara ya kwanza niliveshwa pingu katika maisha yangu na kuswekwa rumande. Nimexperience jail life for first time na nashukuru nimetoka jana. Sitaki kuongelea sana what happened Lakin word of advice, usije ukamuamini mtu kupita kiasi hata kama ni ndugu yako. Glad to be back
Kaka acha tuPole mkuu....tumemiss picha zako za bata. Ilikuwaje ukaswekwa lupango?