TISEZA kutoa ardhi bure kwa wawekezaji. Je eneo lipo jirani na reli ya SGR itumike?

TISEZA kutoa ardhi bure kwa wawekezaji. Je eneo lipo jirani na reli ya SGR itumike?

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398
TISEZA KUTOA ARDHI BURE KWA WAWEKEZAJI, Je eneo lipo jirani na reli ya SGR itumike.

Eneo la NALA DODOMA lipo kilometa 10 kutoka reli mpya ya SGR ilipojengwa.

Je TISEZA inasomana na reli mpya ya SGR ili wawekezaji waweze lutumia reli hiyo ya matrilioni ya shilingi

Ni muhimu maeneo ya pembezoni ya reli kuwa eneo la uwekezaji, viwanda na kilimo cha mashamba makubwa badala ya reli hiyo baadaye kusongwa na vibanda vya makaazi ya watu halafu wbaadaye ndiyo serikali istuke kuanza kubomoa nyumba za makaazi ya watu

Ni muhimu mipango miji ya kuanzia mikoa ya DSM, Pwani Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Kigoma n.k kuamua maeneo yote ya pembezoni ya reli kuwa na mpangilio wa uwekezaji uliopangika.

TOKA MAKTABA:
Habari za mradi mkubwa wa SGR Reli mpya na uwekezaji wake mzito :
15 Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

 
TISEZA Transforming investment strategically or shortsighted ?


Tanzania’s Special Economic Zones (SEZs) with TISEZA! 🚀


View: https://m.youtube.com/watch?v=N6oWwInLgQE
Tanzania is fast becoming one of Africa’s most attractive destinations for investment, and the Special Economic Zones (SEZs) managed by TISEZA are at the heart of this transformation. These zones offer unique opportunities for both local and international investors with incentives designed to boost growth, productivity, and innovation.
 
Back
Top Bottom