Chaumma inamtishia nani? Acheni kukuza vitu, chaumma hii ya ubwabwa na tembele?Chadema wameitisha kikao cha dharura cha kamati kuu ya chama hicho. Moja ya malalamiko ya G55 ilikuwa kwamba viongozi wanafanya ziara za kukusanya posho na hawaitishi kikao cha kamati kuu kujadili kesi ya Lissu.
Naona baada ya Chama Kikuu cha upinzani-Chaumma kupata kwa umaarufu, kikao kimeitwa ghafla.
MMEISHIWA MBINU SASA MMEBAKI KUJAMBAJAMBA TU CHADEMA INKWISHA HIVYO TARATIIIBU HADI OCTOBER MAJI MTAITA MMMMAAAAChadema wamefanya vyema kuitisha kikao hata hivyo walipaswa kufanya hivyo mapema maana kwa jinsi hali ilivyo hawana muda wa kulala kabisa.
Watanzania tupo na chadema viongozi wetu wapige kazi wasivunjike moyo
Mlisema ivyoivyo kilipoanzishwa act wazalendoMMEISHIWA MBINU SASA MMEBAKI KUJAMBAJAMBA TU CHADEMA INKWISHA HIVYO TARATIIIBU HADI OCTOBER MAJI MTAITA MMMMAAAA
Ccm ndo wanatapatapa kila wanachokifanya wanakisea. Ccm haikubaliki na wananchi inatumia nguvu na pesa nyingi kupambana na chadem. Ajabu kila hila wanazoleta zinawatokea puani.MMEISHIWA MBINU SASA MMEBAKI KUJAMBAJAMBA TU CHADEMA INKWISHA HIVYO TARATIIIBU HADI OCTOBER MAJI MTAITA MMMMAAAA
Tishio la chadema ndiyo limefanya chama Cha matapeli (CCM) yaitishe mkutano mkuuChadema wameitisha kikao cha dharura cha kamati kuu ya chama hicho. Moja ya malalamiko ya G55 ilikuwa kwamba viongozi wanafanya ziara za kukusanya posho na hawaitishi kikao cha kamati kuu kujadili kesi ya Lissu.
Naona baada ya Chama Kikuu cha upinzani-Chaumma kupata kwa umaarufu, kikao kimeitwa ghafla.
Nani aliyetishika? Yaani wahuni waitishe ChademaChadema wameitisha kikao cha dharura cha kamati kuu ya chama hicho. Moja ya malalamiko ya G55 ilikuwa kwamba viongozi wanafanya ziara za kukusanya posho na hawaitishi kikao cha kamati kuu kujadili kesi ya Lissu.
Naona baada ya Chama Kikuu cha upinzani-Chaumma kupata kwa umaarufu, kikao kimeitwa ghafla.
Hivi we Mchome una ID ngapi hapa JF?Chadema wameitisha kikao cha dharura cha kamati kuu ya chama hicho. Moja ya malalamiko ya G55 ilikuwa kwamba viongozi wanafanya ziara za kukusanya posho na hawaitishi kikao cha kamati kuu kujadili kesi ya Lissu.
Naona baada ya Chama Kikuu cha upinzani-Chaumma kupata kwa umaarufu, kikao kimeitwa ghafla.
Kupokea watu zaidi ya afutatu na kula ubwabwa tembele, kunywa, kulala bila Tone tone ndicho kimewatisha wana saccos ya Tone tone.Chaumma inamtishia nani? Acheni kukuza vitu, chaumma hii ya ubwabwa na tembele?
ππππChadema wameitisha kikao cha dharura cha kamati kuu ya chama hicho. Moja ya malalamiko ya G55 ilikuwa kwamba viongozi wanafanya ziara za kukusanya posho na hawaitishi kikao cha kamati kuu kujadili kesi ya Lissu.
Naona baada ya Chama Kikuu cha upinzani-Chaumma kupata kwa umaarufu, kikao kimeitwa ghafla.