Ni rai kwa wanausalama na kwa wapenda Amani wote!
Tumekuwa na Amani na utulivu kwa muda kitambo sasa licha ya mazuwio ya kisiasa, lakini nchi yetu imekuwa na Amani na shwari
Hivi majuzi mpendwa wetu na jemedari wa nchi yetu mh Rais Samia aliondoa zuio la kufanya mikutano ya kisiasa na ili amani izidi kutamalaki!
Baada ya ondoleo hilo la kisiasa, limefanya kutoa mwanya na kuvutia watu mbalimbali kutokea sehemu mbalimbali za nchi yetu na nje ya nchi yetu!
Wengine ambao hawakuwa na mpango wa kurudi wamerudi nchini! Shaka yetu na maswali yetu! Kwa nini tupokee wageni na wakati huohuo tayari nchi iwe kwenye tishio la kiusalama?
Staki kuhusanisha matishio haya ya kiusalama na wageni wetu kutokea nchi za nje, lakini je, sio sehemu sahihi ya sisi kuanzia?
Kuja tu kwa wageni na tayari nchi inakuwa kwenye matishio ya kigaidi? Kuna nini?
Tahadhari hii ni Akiba pia ya badaye kwa serikali iliyopo, maana kuna watu likiwatokea, hawachewi kuhusianisha tukio hilo na mkono wa serikali
wao huamini kila likimtokea mtu wao, wao hudai wamefanyiwa kwa maagizo ya serikali, ni bora wachunguzwe na kwa sasa mikusanyiko ipigwe stop kwanza