Tishio la kigaidi Nchini: Wageni wote walioingia tangu juzi na jana wachunguzwe!

Mwaka juzi walito tahadhali kama hivi.
 
Mtoa mada anataka Lissu achunguzwe..
Ningeambiwa nitoke tafsiri ya alichoandika wa sentensi moja, maneno mawili tu, ningekuja hivi: Lissu achunguzwe.
Huo ni ujuha. Mtoa mada ana vinasaba na shetani.
 
Wanaofanyaga matukio ya kigaidi mara nyingi unakuta ni mtu ambae ameshakaa nchini muda mrefu na ameshasoma mazingira, anajua udhaifu wa usalama eneo la tukio na najua namna ya kuchomoka asikamatwe

Mgeni aliekuja juzi ni ngumu kufanya tukio, na maajabu anaefanya tukio anaweza kuwa hata mwenyeji ambae si rahisi kumtambua
 
Wewe kweli K.
Kiongozi, haya mandishi huwa hayafutiki eti! Utakuta hapo na wewe eti ni mlokole na kila siku ni kanisani, au kila adhana upo msikitini, halafu unajiita umeokoka au wewe ni shekhe, haya matusi yanakuthibitisha jinsi ulivyo wa shetani
 
Ningeambiwa nitoke tafsiri ya alichoandika wa sentensi moja, maneno mawili tu, ningekuja hivi: Lissu achunguzwe.
Huo ni ujuha. Mtoa mada ana vinasaba na shetani.
Tafsiri yako ibaki kuwa ya kwako mkuu!

Halafu, shetani hajawahi kujua kuandika aisee, ni kivipi uite watu mashetani mkuu, kwa kosa lipi aisee
 
Kwani Jerry Muro hujakabidhi tu ofisi huko Ikungi?
 
Mmeanza kupanga mipango yenu hatari!
Kwa nini hamridhiki na kipato mpatacho mnawaza tamaa ya madaraka hata kwa damu za watu?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…