Tetesi: Tishio la kumuondoa Mufti BAKWATA

Are you serious!!? Sasa wanaomchagua una maana walikua hawalijui hili? Hakuna vigezo vya mtu anayepaswa kuwepo kwenye hiyo nafasi? Hakuna kamati unayohakiki kama wajazaji wa form wana hivyo vigezo tajwa?
 
Mimi siipendi bakwata haswaa lakini siwezi beba dhimma kubwa ya kumsingia sheikh kuwa amezini binaadamu bhana ,tena isitoshe maiti
Tuambie wewe, ukwelu ni upi? au umeshazoea matango ya vijiweni basi kila unachokisikia unajua ni cha kijiwe!! Tafuta ukweli acha kuiharibu akili yako kwa sababu tu eti sheikh sijui nini. Kuwa na akili huru usiifunge funge kama vitumbua ndani ya karatasi
 
Are you serious!!? Sasa wanaomchagua una maana walikua hawalijui hili? Hakuna vigezo vya mtu anayepaswa kuwepo kwenye hiyo nafasi? Hakuna kamati unayohakiki kama wajazaji wa form wana hivyo vigezo tajwa?

Vigezo tajwa vimetajwa wapi?

Mufti hawaongozi watu wachache waliomchagua, anatuongoza sote, sisi tungetaka kujua viongozi hawa wanachaguliwa kwa vigezo gani.

Hivi vitu lazima viwe transparent, haiweki kuwa siri ya kikundi kinachomchagua Mufti. Kikundi kinaweza kumchagua mwenzao, mtu wao, kulinda maslahi yao. Tunataka kujua sifa zake. Usinambie wao wanajua, wao walipitia fomu zake. Wao kina nani? Fomu gani Mzee Zuberi alijaza kuomba u-Mufti?

Mimi nilidhani unanikosoa utaonyesha vigezo au sifa za Mufti za kuchaguliwa kuongoza Bakwata. Nchi nzima, sio hapa JF, nchi nzima hakuna anaeweza kusimama akasema Mufti Zuberi hajaibukia misituni, wasifu wake ni huu na ule.

Mufti Zubery amefundishwa dini na nani, wapi, lini kwa mfano? Tuanzie hapo.
 
Mimi sijakukosoa ila nimeshangazwa na kuhitaji ufafanuzi kutoka kwako.
 
Shetani anafanya kazi sana Kila nyumba ya ibada anataka aibomoe. Sijui tunakoelekea ni wapi. Mungu aturehem sana
 
Nilikuwa napenda sana kusikiliza hotuba na mawaidha yake. Alikuwa na busara na hekma sana yule Mzee.
Mufti wa sasa ndiye alikuwa msaidizi wake mkuu. Na kiukweli huyu mufti ni mcha mungu sana
 
Unajua kwanini?au nkupe majibu

Ova
 
Mimi sijakukosoa ila nimeshangazwa na kuhitaji ufafanuzi kutoka kwako.

Who knows?

There is no ufafanuzi.

Hakuna anaejua professional background ya huyu Alhaji, na hayo mambo ndo yanayochangia kuweka mtu anaekuja kuwa dangerously incompetent. Alipokufa Mufti Simba this man just popped out of the woodwork and took over. Sasa humtoi hapo bila Bakwata kupasuka, na nchi kitikisika.
 
Are you serious!!? Sasa wanaomchagua una maana walikua hawalijui hili? Hakuna vigezo vya mtu anayepaswa kuwepo kwenye hiyo nafasi? Hakuna kamati unayohakiki kama wajazaji wa form wana hivyo vigezo tajwa?
maswal hayo yote utajiuliza lakin majibu take hutayapata kwa msaada jaribu kufuatilia kuundwa kwa chombo hcho na ni nan alihihusisha moja kwa moja kuteua viongoz hao na kamwe haitatokea mufti aliekubarka na waislaam kuongoza chombo hcho hao wote n mash.....
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Let me pass away!!
 
Sasa kama humjui ulijuaje kuwa anasingiziwa?
 
Bakwata wote ni makafiri
ndg usikufulishe watu namna hyo, no kwel kuwa ni watu ambao Hawako kwenye misimamo ya sawasawa lakin CIO kuwakufulisha wot kwan wengne hajui nn kinaendelea huko
 
ndg usikufulishe watu namna hyo, no kwel kuwa ni watu ambao Hawako kwenye misimamo ya sawasawa lakin CIO kuwakufulisha wot kwan wengne hajui nn kinaendelea huko

Muislamu wakweli hawezi kulitumikia kanisa. Bakwata ni balozi wa ccm na kanisa ndani ya jamii ya kiislamu. Kumbuka kwamaba nyerere ndie alieiunda bakwata. Sasa jiulize alikua na lengo gani juu ya iilo.

Kiongozi mkubwa unamkuta yumo ndani yakanisa alafu ndo shekhe ati uyo.
 
hlo nalifaham MKUU ila wale wanalolifaham hill miongon mwa viongoz wa bakwata watahukumiwa na gukumu hyo lakin maskin kuna watu wanafuata tu mkumbo hawalijui hill kuwakufulisha Vila kuwatabaibishia ukwel tunaingia kwenye makosa mkuu
 
Kuwa mpaka leo bado umeshindwa kuwafaham bakwata na umeshindwa kuwafaham ccm, na ukawa ni muislamu basi lazima utakua una matatizo ya akili kidogo.
Inasikitisha sana kuona waislamu wanaishabikia ccm. Kujifahamu nakutojitambia ni tatizo kubwa linayoikabili jamii yetu ya kiislamu
 
Huu ni upotoshaji BAKWATA Makao makuu kama ina hali mbaya nisawa lkn hili ni anguko la kiuchumi la kila secta leo hii kuna malalamiko kila upande ukiangalia leo hii shule zinafungwa Baadhi ya Bank ziko hoi unataka kutoa milioni 5 unapigishwa foleni taasisi zakutoa mikopo kama zimefulia moja makao makuu yapo Arusha hivyo hili nilazima liwahusu nawao wapo Tanzania

Kuhusu shule za Bondeni na huko Katavi Bakwata makao makuu hawahusiki

Kuhusu matatizo binafsi ya Masheikh Bakwata haihusiki kama kuna mtu kaiba au kafanya ufuska hilo ni lakwake yeye kama kaiba Bakwata basi taratibu zifatwe

Yapo mambo ya msingi ya kuituhumu Bakwata kama baraza la waisilamu kwa uongozi wao na mahala walivyo tufikisha sasa lkn haya ni yakipuuzi na yamelenga kututoa kwenye lengo hili waisilamu tusikubali tunaambiwa Sheikh alifanya zinaa mwenyewe ameshakufa inatusaidia nini sisi hata kama nikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…