TISHIO LA NJAA KENYA: Rais Kenyatta apiga marufuku mahindi kuuzwa ng'ambo

Una vitu vianonekana kwa mfano Kenya inaonyesha kabisa kuwa hata wananchi wake wana mentality ya development ila hapa bongo mkuu development ni siasa ya bungeni na kweny vijiwe vya kahawa
Hiyo ni society yako upande wako. ..
 
M
View attachment 462424
MIMI NI ISIS
UNARINGANISHA = UNARINGANISHA. .
Naona unajitekenya mwenyewe Mr mjinga. ..maana kimtokacho mtu ndivyo alivyo. ...
GODESS OF MAGIC. ..ISIS GODESS OF 10000 NAMES. ..
Mkuu yaishe maana naona hmna hoja zenye facts ni siasa na dini tu typical tanzania
 
Njaa hakuna ila tahadhari ipo kutokana mvua kutopatikana kutakuwa na upungufu wa chakula. Sokoni vyakula kibao tu. We unaijua njaa au unaisikia tu?
 
M

Mkuu yaishe maana naona hmna hoja zenye facts ni siasa na dini tu typical tanzania
Facts does not exist. ..change your thoughts. ..create your own facts. .have a nice Sunday my friend. ..
 
Jibu ni hakuna njaa Tanzania
Kuna upungufu wa chakula
Hayo mengine ni kick za kisiasa
 
Usisene na hii tuna spin, lakini serikali imeshasema tunazo tani milioni 1.5 za chakula. Njaa huku umekuwa mtaji wa kisiasa, lakini hakuna anaeonyesha njaa uko wapi na nani mwenye shida ya chakula.

Wapo ambao wana nia ya kuacha ubunge mkionyesha ushahidi wa hicho chakula....

Zitto Kabwe
January 17 at 2:22pm ·
Serikali ya CCM ikinionyesha tani 1.5m za chakula kutoka Hifadhi ya Taifa ya Chakula ambazo inataka kusambaza najiuzulu Ubunge mara moja.
Narudia, mpaka Oktoba 2016 kulikuwa na nafaka tani 90,400 tu Hivi kwenye maghala yote ya NFRA.

Tunashukuru kuwa Hivi sasa ajenda ya tishio la njaa inapata majawabu na matamko. Ndio wajibu wa vyama vya siasa. Kuibua masuala muhimu kwa nchi yetu.

Nimesikia Mwenezi wa CCM ameongea na waandishi Leo. Natarajia ndugu Ado Shaibu atamkaribisha mwenzake ulingoni
https://www.facebook.com/
 
It is true, I was in Turkana last two weeks saw the situation is terrible.

Wakenya wasiingize siasa KAMA ZA CHADEMA.
Acha ulofa. Apo chadema wameingiaje. Si useme ukweli tu CCM ndyo imeendekeza siasa kila siku kutoa matamko na kuyakanusha wenyewe
 
Tulisha mwambia, aache kwanza ataonyeshawa chakula kiko wapi. Mbona bado yupo yupo tuu?
 
Uhuru yuko sirias kweli? Toka lini Kenya ika Export maize?
 
Kuna njaa au kuna ukame, kama ni njaa unaweze wa kununua chakula nje ya nchi. Ukame ni swala jingine kabisa ambalo linatatuliwa na kulinda vyanzo vya maji.
 
Hivi ng'ambo ni wapi? Ni pamoja na Tanganyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…