Tishio la Upungufu wa Mavuno, Usalama wa Chakula baada ya Mafuriko na Mvua kubwa

Tishio la Upungufu wa Mavuno, Usalama wa Chakula baada ya Mafuriko na Mvua kubwa

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
December 30, 2019
Tanzania

Hali ya upungufu wa mavuno tishio la Usalama wa chakula Tanzania 2020 - 2021
Changamoto kubwa baada ya mafuriko na mvua nzito zisizo koma kukumba maeneo mengi ya Tanzania ni suala la usalama wa chakula kupitia akiba ya mazao kama mahindi, mpunga, mihogo, ulezi na mtama.

Hapa pia haijagusiwa bei ya vyakula kupaa na kuwa ghali kwa waishio mijini huku pia wakulima wakihemea chakula.

Mpaka sasa si Wizara ya Kilimo wala Idara ya Hali ya Hewa iliyoweza kutoa angalizo na tathmini juu ya yajao kuhusu usalama wa chakula.

Source: millard ayo
Pia hakuna ripoti kamili kuhusu uharibifu wa miundo mbinu ya barabara na madaraja toka Wizara ya Uchukuzi, Ujenzi na Mawasiliano ktk maeneo ya mikoa inayozalisha chakula kwa wingi kama mikoa ya Mbeya, Songwe au Rukwa. Pia mikoa ya Kaskazini na ziwa kama Mara, Manyara huku mikoa ya Tabora, Kagera na Geita pia.

Source: Serengeti Media Centre
Wafuatiliaji makini wameangazia macho yao kuanzia mwezi Machi 2020 kuwa hali halisi itajitokeza juu ya upungufu wa chakula na njaa ambao umesababishwa si na ukame bali mvua nyingi mafuriko na uharibifu wa miundo mbinu ya barabara na madaraja kote nchini Tanzania. Mbegu na Mimea mingi itaozea ardhini kutokana na unyevu unyevu mwingi kupita kiasi wa mashamba na mavuno kukosekana.

Kutoka maktaba :Hali ya chakula 2013/14 - 2017/18
Waziri wa Kilimo Mh. Japhet Hasunga hali ya chakula kwa miaka 5 iliyopita ilikuwa nzuri 2013 mpaka 2018. Nchi ktk kipindi cha miaka 5 iliyopita kulikuwepo na utoshelevu wa asilimia 120 ya mahitaji ya chakula. Uzalishaji mzuri mpaka kuwa na ziada ya chakula cha tani milioni 2.6 Hii ilisababishwa na hali nzuri ya hewa, upatikanaji wa pembejeo kwa wakati, miundo mbinu ya usambazaji kama barabara zinazopitika. Tathimini ya wizara iliyofanyika 2017/18 hali ya hewa ikiwa nzuri inaonesha uzalishaji utafikia tani milioni 16 kwa mwaka 2019/2020

Source: MCL Digital


"Food Security Early Warning System - Agromet Update, Issue 2: 2019/2020 Agricultural Season (23-12-2019) - Mozambique | ReliefWeb" Food Security Early Warning System - Agromet Update, Issue 2: 2019/2020 Agricultural Season (23-12-2019) - Mozambique
The recent JFM forecast update suggests there are heightened chances that crop moisture deficits can occur during critical periods of crop growth. Most cereal crops in the region typically reach the critical flowering and ripening stage during the January-to-March period. Any severe moisture stress during these critical crop growth stages can cause significant levels of yield reduction. The high likelihood of low rainfall during the JFM period also raises the possibility of additional negative impacts on livestock, pastures and water availability. This is likely to exacerbate the impacts of the severe 2018/2019 drought that already affected many countries in the region. Many areas in the region have had unfavourable, low rainfall in several of the last few seasons, resulting in low crop production, reduced water supply, and poor livestock conditions. Coping capacity of households dependent on agriculture are therefore likely to be stretched in these areas. Irrigation potential has also been reduced in areas where river, reservoir and groundwater levels have been severely impacted by past recent droughts. In the case of Kariba dam, the extremely low water levels have also impacted electricity production, thereby affecting farmers’ ability to irrigate in Zambia, and more-so in Zimbabwe where rolling power outages of 18 hours per day are occurring in many areas.

As the rainfall season progresses in southern Africa, close monitoring of the situation is required, given the poor start of the rainfall season in many areas, the existing drought from the last season, and the likelihood of low JFM rainfall predicted by forecasting centres.
 
Jamani acheni uongo na uzandiki. Magufuli alisema tuko kwenye right track tutembee vifua mbele. Pia wana otaka kuzaa watoto Mzae kwa wengi maana elimu ni bure!!!!
 
Hii ni changamoto kubwa kabisa isiyo ya kisiasa kwa serikali kuelekea 2020 .

JamiiForums kama kawaida ni kuisaidia serikali ijipange na kuwahamashisha wakulima na wafanyabishara ya mazao wajipange huku wizara husika zikipanga mikakati juu ya kukabiliana na adui njaa asiyejua chama, kanda, rangi au jinsia.

Maendeleo ya Watu Hayana Chama !
 
September 6, 2019

Utabiri # Hali ya Hewa # Matarajio

Victor Kaiza mtaalamu na Mkuu wa Idara ya Kilimo na Umwagiliaji Wilaya akipitia ripoti ya hali ya hewa september 2019 mpaka December 30, 2019 na matarajio yake kwa kipindi hicho. Angalizo sasa ni December 30, 2019 na kumekuwepo mvua nzito kupita kiasi zilizochelewa tofauti na matarajio ya kawaida ya Idara ya Hewa pamoja na ya wataalamu wa kilimo

Source: Halmashauri Wilaya ya Ngorongoro
 
Waziri Japhet Kasunga (Kilimo) anabahati sana kupewa Naibu Waziri Hussein Bashe (Kilimo). Huyu Naibu Waziri anapiga kazi kuliko Waziri mwenyewe. Bila hivo ugali wake ungeungua jikoni 2020 kwa kilimo "KUBEMENDWA" na hizi mvua.

CCM siikubali, ila Hussein Bashe acha nimpe haki yake, dogo anachapa kazi kuliko hata waziri wake. Sekta ya kilimo ndani ya muda mfupi kapiga kazi kubwa sana.
 
December 16, 2019

Ruangwa, Lindi

Kilimo Himilivu na mabadiliko ya tabia nchi
Wakulima kunufaika na taarifa sahihi na za wakati stahiki za hali ya hewa ili nguvu zao na fedha zisipotee bure nyakati hizi ambazo hali ya hewa haiendani na mazowea yao ya miaka mingi ya hali ya hewa iliyokuwa inatabirika.
M

Source: Cloudsmedia
 
Unasemaje khs bashe kusema mahindi na mpunga kuanza kuuzwa kwa mfumo wa stakhabadhi ghalani kama vile vile Korosho/pamba zinavyouzwa?
Waziri Japhet Kasunga (Kilimo) anabahati sana kupewa Naibu Waziri Hussein Bashe (Kilimo). Huyu Naibu Waziri anapiga kazi kuliko Waziri mwenyewe. Bila hivo ugali wake ungeungua jikoni 2020 kwa kilimo "KUBEMENDWA" na hizi mvua.

CCM siikubali, ila Hussein Bashe acha nimpe haki yake, dogo anachapa kazi kuliko hata waziri wake. Sekta ya kilimo ndani ya muda mfupi kapiga kazi kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jakaya Kikwete on Kilimo Kwanza and SAGCOT push : FOOD SECURITY AT THE G8: Changing the development landscape


Discussants: His Excellency Jakaya Kikwete, President of the United Republic of Tanzania His Excellency Meles Zenawi, Prime Minister of Ethiopia His Excellency Professor John Evans Atta Mills, President of Ghana Mr. Jørgen Ole Haslestad, president and chief executive officer, Yara International ASA Ms. Ellen Kullman, chair of the board and chief executive office, DuPont Mr. Strive Masiyiwa, acting chairman of the board, Alliance for a Green Revolution in Africa The Honourable Kristalina Georgieva, European Commissioner for International Cooperation, Humanitarian Aid, and Crisis Response The Honourable Andrew Mitchell MP, secretary of state for International Development, UK
Source: Chicago Council on Global Affairs

 
Waziri Japhet Kasunga (Kilimo) anabahati sana kupewa Naibu Waziri Hussein Bashe (Kilimo). Huyu Naibu Waziri anapiga kazi kuliko Waziri mwenyewe. Bila hivo ugali wake ungeungua jikoni 2020 kwa kilimo "KUBEMENDWA" na hizi mvua.

CCM siikubali, ila Hussein Bashe acha nimpe haki yake, dogo anachapa kazi kuliko hata waziri wake. Sekta ya kilimo ndani ya muda mfupi kapiga kazi kubwa sana.


Anapiga kazi gani kuliko boss wake ebu schemings kujimwambafay
 
Back
Top Bottom