TISS Alhamis Mpaka Wikiendi

TISS Alhamis Mpaka Wikiendi

Nijuavyo mimi, "cut-off time" ya TISS ni saa 4 usiku kuanzia J3 mpaka J'mosi na mchana kwa siku ya J2. Huu ni mda ambao karibu taasisi zote (Benki kuu, benki za biashara na Serikali) zinakuwa zimemaliza kazi ya siku. Kumbuka hizo "transfers" zinafanywa na wafanyakazi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa kwa nini benki kubwa namna hiyo iseme TISS mwisho Alhamis mchana?

Mkuu wewe ushawahi kudipoziti cheki ya benki tofauti siku ya Alhamis? Salio walikwambia litasoma lini?
 
Sasa kwa nini benki kubwa namna hiyo iseme TISS mwisho Alhamis mchana?

Mkuu wewe ushawahi kudipoziti cheki ya benki tofauti siku ya Alhamis? Salio walikwambia litasoma lini?
Sijawahi ila nipo katika mojawapo ya taasisi wadau wa TISS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi ila nipo katika mojawapo ya taasisi wadau wa TISS

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo uko na taarifa nyingi zaidi kuhusu hili.

Wakati mwingine benki pinzani zinachezeana rafu ili mteja asipende kutumia huduma za benki nyingine. Huenda ni wakati sasa wa watu wa TISS ya benki kuangalia upotoshaji tunaoupata wateja wa mabenki.
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Back
Top Bottom