Nijuavyo mimi, "cut-off time" ya TISS ni saa 4 usiku kuanzia J3 mpaka J'mosi na mchana kwa siku ya J2. Huu ni mda ambao karibu taasisi zote (Benki kuu, benki za biashara na Serikali) zinakuwa zimemaliza kazi ya siku. Kumbuka hizo "transfers" zinafanywa na wafanyakazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi ila nipo katika mojawapo ya taasisi wadau wa TISSSasa kwa nini benki kubwa namna hiyo iseme TISS mwisho Alhamis mchana?
Mkuu wewe ushawahi kudipoziti cheki ya benki tofauti siku ya Alhamis? Salio walikwambia litasoma lini?