TISS fanyeni kazi kwa mujibu wa Sheria na Maslahi Mapana ya Nchi

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Posts
4,923
Reaction score
4,594
Kwa mujibu wa Sheria jukumu la Idara ya Usalama wa Taifa ni kukusanya, kuchakata na kutoa taarifa kwa mamlaka husika kuhusu mambo ya usalama wa ndani na nje ya nchi. Lengo kubwa ni kuweka mtangamano wa taifa.

Pamoja na ukweli kuwa kwa nchi yetu tiss imekuwa karibu na chama tawala Ila kwa muda mrefu taasisi hii imefanya kazi kwa kiwango cha kuwepo utulivu. Changamoto kubwa ilianza 2017 na sasa inaendelea kwa taaasisi kufanya siasa na baadhi ya waandamizi kujifanyia yao.

Natoa rai TISS fanyeni kazi yenu kwa mujibu wa Sheria. Hii no reforms no election campaign wajuzeni watawala wawe wasikivu. Semeni ukweli. Mnaona kabisa namna vijana wanavyohamasika na kampeni hii hata uchaguzi ukifanyika kwa mazingira tulio nayo hawatashiriki.

LEGITIMACY NA MTANGAMANO WA KITAIFA utapotea kama sio kuyumba. TISS shaurini wakigoma mnajua hatua za kufanya kwa mujibu wa Sheria. Iepusheni hii nchi na ubaguzi, madhira, chuki, madonda na kufail kunakoanza kuota mizizi.

Ndugu Mombo chukua hatua.
 
Kwa mujibu wa Sheria jukumu la Idara ya Usalama wa Taifa ni kukusanya, kuchakata na kutoa taarifa kwa mamlaka husika kuhusu mambo ya usalama wa ndani na nje ya nchi. Lengo kubwa ni kuweka mtangamano wa taifa.

Pamoja na ukweli kuwa kwa nchi yetu tiss imekuwa karibu na chama tawala Ila kwa muda mrefu taasisi hii imefanya kazi kwa kiwango cha kuwepo utulivu. Changamoto kubwa ilianza 2017 na sasa inaendelea kwa taaasisi kufanya siasa na baadhi ya waandamizi kujifanyia yao.

Natoa rai tiss fanyeni kazi yenu kwa mujibu wa Sheria. Hii no reforms no election campaign wajuzeni watawala wawe wasikivu. Semeni ukweli . Mnaona kabisa namna vijana wanavyohamasika na kampeni hii hata uchaguzi ukifanyika kwa mazingira tulio nayo hawatashiriki. LEGITIMACY NA MTANGAMANO WA KITAIFA utapotea kama sio kuyumba. Tiss shaurini wakigoma mnajua hatua za kufanya kwa mujibu wa Sheria. Iepusheni hii nchi na ubaguzi, madhira, chuki , madonda na kufail kunakoanza kuota mizizi. Ndugu Mombo chukua hatua.
Watawala wanawasikiliza sasa? Au wanachukua yale yenye manufaa kwao tu?
 
Hao jukumu hilo wameliacha wamejikita kuteka,kuua wapinzani na kuratibu wizi wa kura ili CCM iendelee kutawala,hao jamaa wamekuwa kama Janjaweed tu.
 
Kwa mujibu wa Sheria jukumu la Idara ya Usalama wa Taifa ni kukusanya, kuchakata na kutoa taarifa kwa mamlaka husika kuhusu mambo ya usalama wa ndani na nje ya nchi. Lengo kubwa ni kuweka mtangamano wa taifa.

Pamoja na ukweli kuwa kwa nchi yetu tiss imekuwa karibu na chama tawala Ila kwa muda mrefu taasisi hii imefanya kazi kwa kiwango cha kuwepo utulivu. Changamoto kubwa ilianza 2017 na sasa inaendelea kwa taaasisi kufanya siasa na baadhi ya waandamizi kujifanyia yao.

Natoa rai tiss fanyeni kazi yenu kwa mujibu wa Sheria. Hii no reforms no election campaign wajuzeni watawala wawe wasikivu. Semeni ukweli . Mnaona kabisa namna vijana wanavyohamasika na kampeni hii hata uchaguzi ukifanyika kwa mazingira tulio nayo hawatashiriki. LEGITIMACY NA MTANGAMANO WA KITAIFA utapotea kama sio kuyumba. Tiss shaurini wakigoma mnajua hatua za kufanya kwa mujibu wa Sheria. Iepusheni hii nchi na ubaguzi, madhira, chuki , madonda na kufail kunakoanza kuota mizizi. Ndugu Mombo chukua hatua.
Kuna mtu hua mnafichia sana udhalimu wake, TISS ati ilianza udhalimu mwaka 2017, hapana ilianza kabla ya hapo. Habari za ki-intelligensia zinaonyesha wazi kabisa TISS ndiyo walimuua Dr. Balali ili asitoe siri za EPA na udhalimu wa huyu jamaa. TISS uovu huo walianza zamani.
 
Hawana lolote hao wakivaa vile vikofia vyenye bendera ya taifa na jezi za taifa stars hata bar wanataka uwapishe kwenye viti.
Njoo bar za makumbusho ujionee walivyo wajinga
 
Kwa mujibu wa Sheria jukumu la Idara ya Usalama wa Taifa ni kukusanya, kuchakata na kutoa taarifa kwa mamlaka husika kuhusu mambo ya usalama wa ndani na nje ya nchi. Lengo kubwa ni kuweka mtangamano wa taifa.

Pamoja na ukweli kuwa kwa nchi yetu tiss imekuwa karibu na chama tawala Ila kwa muda mrefu taasisi hii imefanya kazi kwa kiwango cha kuwepo utulivu. Changamoto kubwa ilianza 2017 na sasa inaendelea kwa taaasisi kufanya siasa na baadhi ya waandamizi kujifanyia yao.
Naunga mkono hoja TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
P
 
Kwa mujibu wa Sheria jukumu la Idara ya Usalama wa Taifa ni kukusanya, kuchakata na kutoa taarifa kwa mamlaka husika kuhusu mambo ya usalama wa ndani na nje ya nchi. Lengo kubwa ni kuweka mtangamano wa taifa.

Pamoja na ukweli kuwa kwa nchi yetu tiss imekuwa karibu na chama tawala Ila kwa muda mrefu taasisi hii imefanya kazi kwa kiwango cha kuwepo utulivu. Changamoto kubwa ilianza 2017 na sasa inaendelea kwa taaasisi kufanya siasa na baadhi ya waandamizi kujifanyia yao.

Natoa rai tiss fanyeni kazi yenu kwa mujibu wa Sheria. Hii no reforms no election campaign wajuzeni watawala wawe wasikivu. Semeni ukweli . Mnaona kabisa namna vijana wanavyohamasika na kampeni hii hata uchaguzi ukifanyika kwa mazingira tulio nayo hawatashiriki. LEGITIMACY NA MTANGAMANO WA KITAIFA utapotea kama sio kuyumba. Tiss shaurini wakigoma mnajua hatua za kufanya kwa mujibu wa Sheria. Iepusheni hii nchi na ubaguzi, madhira, chuki , madonda na kufail kunakoanza kuota mizizi. Ndugu Mombo chukua hatua.
Makada wa chama
 
Back
Top Bottom