Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Shida ya JF yetu ni refa wa kuchagua maamuzi ila anajisahau kuwa siku tukiwatetea kuhusu VPN 😁 .
Huyu shaikh mwaipopo mi sitaki kuwa msimuliaji angalia historia yake wanao mfahamu na yeye alishawahi kusema lile kundi waliwahi kumuepusha kuuliwa ila alitakiwa kukubari mafundisho.
Sasa neno mbwa mwitu ili neno kwenye ugaidi linatumika hata idara ya usalama wa nchi kama code name.
yeye alijuwaje?.