Titanic: Siri nne zisizojulikana hata baada ya miaka 110 ya kuzama kwa Titanic

Wazungu wana akili nyingi sana, yaani miaka hiyo ya mwanzoni mwa 1900 tayari walishaweza kutengeneza meli kubwa kama hiyo. Leo hii imepita zaidi ya miaka 120 lakini bado Africa hatuna uwezo wa kutengeneza hata kimeli uchwara
Songoro marine
 
Watu weusi wamekufa wengi kwenye meli ya titanic wakiwa kama wafanyakazi wa kuchochea engine ambayo ilikuwa inatumia makaa ya mawe
 
Hamna lolote hapo, walianzisha na kumaliza wenyewe.
Naam yawezekana ukawa unajua ukweli kuhusu hii meli kuzama, hizi ni story za kusadikika
lkn ukweli upo, vita ya kiuchumi ndio chanzo kikuu cha ajali hii ya kutengenezwa
 
Zipo shule mbalimbali kuhusu Ili wapo wanasema ni mpango wa freemason kwamba kulikuwa na mpango wa kuanzisha reserve bank USA matajiri wengi walipinga so ukasukwa mpango matajiri na waliokuwa wakipinga jambo lao wakapewa offer ya kusafiri kwa meli mpya ya kisasa ya titanic wengi walipanda so ndo ikaenda bamizwa kwenye barafu capten alikuwa anajua pia waokoaji walichelewa kama wangewahi wengi wangepona. Baada ya ajali reserve bank ikaanzishwa.
 
Naam yawezekana ukawa unajua ukweli kuhusu hii meli kuzama, hizi ni story za kusadikika
lkn ukweli upo, vita ya kiuchumi ndio chanzo kikuu cha ajali hii ya kutengenezwa.
Naam, one of the point ni hii hapa 👇🏾.

Back
Top Bottom