*Title:* `Tumetengeneza AI Reader ya Kiswahili (sw_KE) Inayobadilisha PDF Kuwa MP3 - Msaada wa Elimu`

*Title:* `Tumetengeneza AI Reader ya Kiswahili (sw_KE) Inayobadilisha PDF Kuwa MP3 - Msaada wa Elimu`

Kizumari Technologies

Senior Member
Joined
Sep 22, 2026
Posts
101
Reaction score
258
Wadau wa Teknolojia,
Tumekuwa tukifanya majaribio ya Text-to-Speech ya Kiswahili kwa muda. Tumeona injini nyingi hazina Swahili vizuri.

Tulijaribu kutengeneza kitu kinachosoma PDF na kuwa sauti ya Kiswahili (sw_KE) na ku-save kama MP3. Tumeiweka kama demo bure kwa wanafunzi wa Elimu.

Tumeweka uzi kamili na majaribio yote hapa : ->
Tungependa feedback ya kiufundi kutoka kwenu kuhusu ubora wa sauti ya Kiswahili. Kuna cha kuboresha?[Elimu]
 
Pia kwenye machaguo ya lugha, hakuna Kiswahili kama ilivyojinadi
 
Wadau msijisimbue na hiyo takataka, naam TAKATAKA! Inarekodi audio.

Nimefadhaika sana!
Tukisema tuna vijana wa hovyo wanatumwagia mapovu
 
Ni mbinu ya kishamba sana kurekodi sauti karne hii
 
Back
Top Bottom