no hakutakiwa kuuliza hvyo, coz mtoa maada alitaka kujua title ya kazi, so hii inamaanisha huyu aliyeanzisha topic alisha pata information nyingine so alichokitaka ni heading tu, kweli ndo maana 2nashindwa kuelewa m2 anataka kujua hiki we unamuuliza swali jingine lisilo na mchango kwake, pili huyu muuliza swali kama humjui ni m2 wa dharau sana na wakukatisha tamaa watu. Naomba 2we waelewa c lazima uchangie kitu kama hukifahamu, na umaarufu ndani ya jf hauji kwa kuwekaweka tu michango isiyo na tija, ushauri changia kwa uwezo na ufahamu wako na si kukurupuka tu kuchangia na hasa hili jukwaa la watafuta kazi wengi wapo mtaani na wanategemea kupata ushauri na matangazo ya kazi hapa. Tunaheshimu mchango wa mtu wenye manufaa kwa wana jf hasa wanaoperuzi hili jukwaa. Mwisho tusilifanyie dharau hili jukwaa kwa kujaribu kuleta malumbano humu wakati ndo wengi wetu tusio na fedha za kununulia magazeti tunapata info humu. Tuwe makini