Hizi dhambi za ccm muda mwingine zinachekesha kwa kweli kama siyo kugeuka kituko.Taarifa kutoka Mkoa wa Kipolisi Kinondoni.
Makamu Mwenyekiti Mh. John Wegesa Heche amesafirishwa kutoka Dodoma leo hii na kuletwa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni
Amepewa tuhuma za mbili:
1. Kujihusisha na Vitendo vya Kigaidi, kutoka Kimara mpaka Magomeni.
2. Kujihusisha na vitendo vya Kigaidi, maeneo ya Msewe na Extenal
Mara baada ya kutakiwa kuandika maelezo ya Onyo ametumia haki yake ya Kisheria ya kukataa kuandika maelezo na atatumia haki hiyo mara baada ya kupelekwa Mahakamani!. Taarifa zisizo rasmi muda wowote atapelekwa Mahakamani.
Hekima Mwasipu
Wakili
Hamna kitu kimemkera samia kama CHADEMA kutoshiriki uchaguzi anachofanya saivi ni kuwakomoa viongozi wa juuuDaaa Hawa jamaa Bado hawajifunzi wanazidi kuchochea kiberiti
Yaani zile kura wamepindua zile 97 ndio waliomkataa tatu ndio stahiki yakeHamna kitu kimemkera samia kama CHADEMA kutoshiriki uchaguzi anachofanya saivi ni kuwakomoa viongozi wa juuu
Bado tunaomboleza. Na tunatafuta miili ya ndugu zetu waliouwawa kwa risasi. Illegitimate President yuko ofisini siku ya pili. Hajajutia mauwaji aliyoyafanya. Wala kuomba msamaha. Au kuwafariji wafiwa na Taifa.
Ameona ampe kesi ya UGAIDI John Heche. Heche ameshikiliwa kwa siku 11 kwa tuhuma za uhamiaji—kwamba alivuka kwenda Kenya bila kufuata taratibu. Dola katili limeona limpe kesi ya Ugaidi. Yes, anahojiwa kwa ugaidi. Ukihusishwa na maandamano. Twende hivi hivi. Tutafika tu. Mungu.