Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Kuwa Mzalendo ni kusimama na Taifa sio mtu. Thamani ya Taifa ni kubwa zaidi kuliko chochote. Mnafundishwa hayo lakini cha ajabu mnaangalia tu Taifa linavyoenda kuharibika. Majuto ni mjukuu
 
Alidesign program ambayo ni unlawfully kisha nafikir akapata pesa kupitia hiyo program.

Sasa ukute hiyo program ni nothing less ila ni kablog tu huyu si mwandishi sasa akipost mamb yake humu watu wakiview anapata pesa basi, hakun kesi hayo cha msingi nikuprove hiyo blog au program pengin ni lawful ndio maan nasem kesi hapi ni cyber lakin kwavile alipata pesa kupitia hiy program then inakuw uhujumu uchumi et

Absolutely disgrace kwasababu kwa miaka yeto minne umeonea watu lkni hujawez kuwadhibiti na hutaweza kamwe
Badala ya kumpeleka tume ya sayansi na techologia ili aendeleze ubunifu una mpleka mahabusu???
 
Amini nakwambia Kuna watu siku roho zao zinatolewa watapata tabu mnooo..... Yaani mtoa roho ni anakwatukwatua tu mpaka afe kashateseka mnooo.... Wakiwemo hawa mbwa wanaojiona miungu mtu hapa chini ya jua

Sent using Jamii Forums mobile app
Hasa huyu
FB_IMG_1577268007132.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ukihojiwa lazima ushitakiwa na kosa hilo hilo?
[/QUOTE
Si lazima ila Watanzania na dunia inapata picha fulani ambayo si nzuri kwa vyombo vyetu vya dola. Sheria inasema kabla ya kumkamata mhaligu lazima umwambie kosa lake, huoni hapo wanaenda tofauti?
 

Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu

Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani

Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi kujitokeza na kueleza kuwa waliwakamata na kuwashikilia.

====
UPDATE:

View attachment 1302260

View attachment 1302258View attachment 1302259
Magoti apandishwa kizimbani kwa Uhujumu Uchumi

Mfanyakazi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Tito Magoti amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka matatu ikiwemo la kutakatsha pesa shilingi Milioni 17.

Katika shitaka hilo Magoti amejumuishwa na wenzake Mtaalam wa Masuala Mtandao wa LHRC Theodory Giyan, ambao wote mnamo February Mosi na Disemba 17 wanatajwa kumiliki Program za Kompyuta na baadaye kujipatika Milioni 17 ambazo si zao.

Shtaka linamkabili na Magoti na Giyani ni kuwa sehemu ya Mtandao wa kiuhalifu, pamoja na kumiliki Mtandao wa Kompyuta uliotengenzwa kwa ajili ya kufanya uhalifu.

Hakimu anayesimamia Kesi ya Magoti na Wenzake ni Janeth Mtega ambapo kesi hiyo sasa imesogezwa mbele hadi January 7, 2020 huku washtakiwa hao wakirejeshwa rumande kutokana na aina ya makosa wanayoshtakiwa kukosa dhamana.

Magoti alikamatwa Ijumaa la Disemba 20, akiwa maeneo ya Mwenge jijini Dar es salaam huku siku chache baadaye Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam akithibitisha kuwa Jeshi hilo kumshikilia Tito Magoti lakini bila kueleza sababu yake.
Hata haya yana mwisho pia
 
Back
Top Bottom