Pre GE2025 Tito Magoti: Wahitimu acheni kutumika kupush hashtags, tafuteni kazi za kuwapatia kipato

Pre GE2025 Tito Magoti: Wahitimu acheni kutumika kupush hashtags, tafuteni kazi za kuwapatia kipato

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Wakili na mwanaharakati Tito Magoti amewataka wahitimu kuacha kutumika kusambaza hashtags na badala yake watafute kazi za kufanya za kuwaingizia kipato wasitumike kama TP.

Screenshot 2025-01-20 110004.png
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Wakili na mwanaharakati Tito Magoti amewataka wahitimu kuacha kutumika kusambaza hashtags na badala yake watafute kazi za kufanya za kuwaingizia kipato wasitumike kama TP
View attachment 3207116
Mbona hata Tito Magoti mwenyewe anapush #Hashtags za Maria Sarungi !!

Mwambie tusipangiane hashtags za kusukuma, simu ni zetu na bando tunanunua wenyewe
 
Wakili na mwanaharakati Tito Magoti amewataka wahitimu kuacha kutumika kusambaza hashtags na badala yake watafute kazi za kufanya za kuwaingizia kipato wasitumike kama TP
View attachment 3207116
Watu kama hawa wanaotoa maoni kama haya ni kama wanaishi sayari nyingine. Or else elmu waliyosoma haijawakomboa. Sera zipi zinatoa incentive watu kupata pesa? Unemployment rate inaenda karibu 50%; no job creation, ventors na wachuuzi karibu wote ni wachina na wahindi- lini ventors nchini India au China wawe watanzania? impossible. Construction 100% imeshikwa na wageni; CCM yote hayo wanaona ni sawa. Hata Bandari imeuzwa; we are good for nothing!!!!!!!!!!!!!!! Pumbafu
 
Kwani umesoma chuo gani walichokuambia kwenye English kuna neno ventors?

Nakushauri nenda ukadai ada uliyolipa kusoma, hakuna unachojuwa.

Eti na wewe mburula unalalamika kuwa hakuna ajira. Nani akuajiri na English ya kuunga unga
 
Hela ni Hela. Wengine hatuna ajira bora tupush Hashtag tupate hata 10,000 au 20,000 ya kula.
 
Huyu mjita sijui mkerewe tangu aende kusoma katika nchi za LGEBT akili zake haziko sawa, nadhani tayari kuna watu wanamshika
 
Back
Top Bottom