the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Mbona hata Tito Magoti mwenyewe anapush #Hashtags za Maria Sarungi !!Wakili na mwanaharakati Tito Magoti amewataka wahitimu kuacha kutumika kusambaza hashtags na badala yake watafute kazi za kufanya za kuwaingizia kipato wasitumike kama TP
View attachment 3207116
Watu kama hawa wanaotoa maoni kama haya ni kama wanaishi sayari nyingine. Or else elmu waliyosoma haijawakomboa. Sera zipi zinatoa incentive watu kupata pesa? Unemployment rate inaenda karibu 50%; no job creation, ventors na wachuuzi karibu wote ni wachina na wahindi- lini ventors nchini India au China wawe watanzania? impossible. Construction 100% imeshikwa na wageni; CCM yote hayo wanaona ni sawa. Hata Bandari imeuzwa; we are good for nothing!!!!!!!!!!!!!!! PumbafuWakili na mwanaharakati Tito Magoti amewataka wahitimu kuacha kutumika kusambaza hashtags na badala yake watafute kazi za kufanya za kuwaingizia kipato wasitumike kama TP
View attachment 3207116
Kwani umesoma chuo gani walichokuambia kwenye English kuna neno ventors?Watu kama hawa wanaotoa maoni kama haya ni kama wanaishi sayari nyingine. Or else elmu waliyosoma haijawakomboa. Sera zipi zinatoa incentive watu kupata pesa? Unemployment rate inaenda karibu 50%; no job creation, ventors na wachuuzi karibu wote ni wachina na wahindi- lini ventors nchini India au China wawe watanzania? impossible. Construction 100% imeshikwa na wageni; CCM yote hayo wanaona ni sawa. Hata Bandari imeuzwa; we are good for nothing!!!!!!!!!!!!!!! Pumbafu
Sawa. TutazingatiaWakili na mwanaharakati Tito Magoti amewataka wahitimu kuacha kutumika kusambaza hashtags na badala yake watafute kazi za kufanya za kuwaingizia kipato wasitumike kama TP.