Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Mwanamuziki maarufu kutoka nchini Nigeria, Tiwa Savage, amefichua maelezo kuhusu mahusiano yake ya zamani katika mahojiano ya hivi karibuni, akieleza jinsi alivyomsamehe aliyekuwa mpenzi wake baada ya kumsaliti, lakini bado mwanaume huyo aliamua kuondoka.
Katika maelezo yake, msanii huyo aliweka wazi mtazamo wake kuhusu usaliti kwenye mahusiano na kueleza:
“Mwanaume mmoja aliwahi kunisaliti. Nilimsamehe, lakini bado aliniacha kwa sababu sioni usaliti kama sababu ya kuachana. Sijawahi kumusaliti mwanaume yeyote, na sijawahi kumwacha mwanaume kwa sababu alinusaliti."
Kauli hii imezua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii, huku mashabiki wengi wakionyesha hisia tofauti kuhusu mtazamo wake juu ya uaminifu na msamaha katika mahusiano ya kimapenzi.