Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Nafasi ya Matola ku shine hii katika huu msimuTazama sehemu ya mazoezi ya Simba wakiwa kambini kwao Mbweni Jijini Dar es Salaam. Kumbuka leo ni siku maalum ya waandishi wa Habari (Media Day) kufanya mazungumzo na viongozi, wachezaji na benchi la Ufundi la Simba.
View attachment 3118596
Wakaze ili wafungwe hata mbili sio kukalia tano kama wakati ule.Tazama sehemu ya mazoezi ya Simba wakiwa kambini kwao Mbweni Jijini Dar es Salaam. Kumbuka leo ni siku maalum ya waandishi wa Habari (Media Day) kufanya mazungumzo na viongozi, wachezaji na benchi la Ufundi la Simba.
View attachment 3118596
Huwa inaingia kucheza mpira wa miguu na wapinzani wasio cheza mpira wa miguu halafu ikishinda inafurahia makombe.Yanga ndiyo timu pekee ya mpira wa miguu hapa Tanzania
Chura kumuua Simba, hayo ni maajabu ya duniaYanga inasubiria tu hiyo siku ifike ili ifanye mauaji.
hiyo timu au kikundi cha jogging kutoka bunjuTazama sehemu ya mazoezi ya Simba wakiwa kambini kwao Mbweni Jijini Dar es Salaam. Kumbuka leo ni siku maalum ya waandishi wa Habari (Media Day) kufanya mazungumzo na viongozi, wachezaji na benchi la Ufundi la Simba.
View attachment 3118596
Rejea comment #12Huwa inaingia kucheza mpira wa miguu na wapinzani wasio cheza mpira wa miguu halafu ikishinda inafurahia makombe.
Kawaida tu hiyo mkuu.....Huu ndio ujinga wa Simba,
Wakati Yanga wamejifungia wanaaguliwa sisi tunajifanya wa kisasa...
Mechi za hawa mapacha huishia nje ya uwanja mkuu...Kawaida tu hiyo mkuu.....
π ipige Mnyama bakora za kutosha au sio?Yanga inasubiria tu hiyo siku ifike ili ifanye mauaji.
ππ kama kabeba vibuyu vya WagangaMechi za hawa mapacha huishia nje ya uwanja mkuu...
Utashangaa siku hiyo Ateba anakua mzito kama kabeba viazi...
Aliyoyasema Mayele sio uongo mkuu.
Wana anika siri zao na aina ya maandalizi.Huu ndio ujinga wa Simba,
Wakati Yanga wamejifungia wanaaguliwa sisi tunajifanya wa kisasa...
Ukiwa na maana gani?Yanga ndiyo timu pekee ya mpira wa miguu hapa Tanzania