Tizi la Mnyama Simba wakijiandaa na mechi ya dabi dhidi ya mtani wao wa jadi Yanga SC

Tizi la Mnyama Simba wakijiandaa na mechi ya dabi dhidi ya mtani wao wa jadi Yanga SC

endeleeni hivyo hivyo manyumbuz baadae mje kulia lia mangungu out sh.nzi
 
Haiwezekani usajili wachezaji kwa gharama kubwa na bado wakati wa mechi ufukie makafara, uwashe moto katikati ya uwanja na bado anafungwa.
Hii si timu ya mpira, ni kikundi cha uchawi.
 
Mjitahidi kuweka maji mengi maana kiwembe tunachotumia hakina makali
 
Back
Top Bottom