Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rejea comment #12Ukiwa na maana gani?
Acha kukimbia kimbia, According to you Yanga ndio timu ya mpira wa miguu pekee Tanzania, sasa inacheza na timu zisizo za mpira wa miguu?Rejea comment #12
mbabeSimba ni .... wa Yanga
Coastal Union ndio kubaki yaoTazama sehemu ya mazoezi ya Simba wakiwa kambini kwao Mbweni Jijini Dar es Salaam. Kumbuka leo ni siku maalum ya waandishi wa Habari (Media Day) kufanya mazungumzo na viongozi, wachezaji na benchi la Ufundi la Simba.
View attachment 3118596
Ipo rank ya ngap kw ukubwa na ubora barani afrika?Yanga ndiyo timu pekee ya mpira wa miguu hapa Tanzania