Tiziano Crudeli mtangazaji kichaa wa mpira

Ukishindwa kuwa kichaa kwa Ac millan utakua kichaa kwa timu gani? Hii ndio timu pekee itayokufanya usijutie kuwa shabiki wa mpira
 
Kuna watangazaji wengi vichaa kwa timu zao
huyu kwa Ac Milan kichaa humpanda haswa

Aiseeee, namkubali sana Crudelli, kila baada ya game ya milan lazima ntafute video yake akiwa studio magoli yanapofungwa. Akifunga lapadula huwa naskia raha sana, utaskia lapa lapa lapa dula dula dula ×3
 
Sipati picha ile game ya juzi vs crotone lapa lapa supa lapadula alipotupia goli la ushindi baada ya dogo Niang kuzingua, huyu mzee alichizikaje aisee. Maana dogo mwenyewe lapa kama alichizika flani hivi
 
Hahahaha milan anagongwa mpaka na torino
 
Sipati picha ile game ya juzi vs crotone lapa lapa supa lapadula alipotupia goli la ushindi baada ya dogo Niang kuzingua, huyu mzee alichizikaje aisee. Maana dogo mwenyewe lapa kama alichizika flani hivi
Hahahahahaaa, crudelli alichizika kweli mkuu. Baada ya game tuu nkatafuta video yake, ilikua ni mwendo wa lapa lapa lapa dula dula dula huku anaruka ruka. Nlicheka sana. Ila niang alinikera sana siku ile, katuzingua kinoma, afu hakumtendea haki lapa kumpokonya mpira kwa nguvu vile, na mbaya zaidi akakosa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana
Lapalapa duladula.lol
 
Hahaaaaaa, Niang alikua na perfomance mbaaya sana siku ile sijui siku hizi kakumbwa na nini yule mtoto.

Tuna game ngumu juma tatu ugenini dhidi ya Roma, na dogo anatakiwa a step up sana kwenye hii game, Bonv angekua kapona 100% ningependa ale ubavu alafu huyu dogo apumzike kwanza.

BTW nadhani kikosi kitakua hivi

Donna

Abate - Paletta - Romagnoli - Antonelli

Pasalic - Locatelli - Jack

Suso - LapaGol - Niang
 
Duh, kweli milan imebadilika. Yaani hapo hakuna nimjuaye zaidi ya donnaruma na niang.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…