Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ac milan wanaopigwa had na sassuolo?Ukishindwa kuwa kichaa kwa Ac millan utakua kichaa kwa timu gani? Hii ndio timu pekee itayokufanya usijutie kuwa shabiki wa mpira
Hao hao waliomtandika bingwa mtetezi wenuHawa ac milan wanaopigwa had na sassuolo?
Sassuolo iliyogongwa na Genk 2 bilaHawa ac milan wanaopigwa had na sassuolo?
Hiyo inaitwa m'babe ana m'babe wake.Sassuolo iliyogongwa na Genk 2 bila
.
[emoji23] [emoji23]
Kuna watangazaji wengi vichaa kwa timu zao
huyu kwa Ac Milan kichaa humpanda haswa
Umenena vyema mkuu. Forza milanUkishindwa kuwa kichaa kwa Ac millan utakua kichaa kwa timu gani? Hii ndio timu pekee itayokufanya usijutie kuwa shabiki wa mpira
Sipati picha ile game ya juzi vs crotone lapa lapa supa lapadula alipotupia goli la ushindi baada ya dogo Niang kuzingua, huyu mzee alichizikaje aisee. Maana dogo mwenyewe lapa kama alichizika flani hiviAiseeee, namkubali sana Crudelli, kila baada ya game ya milan lazima ntafute video yake akiwa studio magoli yanapofungwa. Akifunga lapadula huwa naskia raha sana, utaskia lapa lapa lapa dula dula dula ×3
Hahahahahaaa, crudelli alichizika kweli mkuu. Baada ya game tuu nkatafuta video yake, ilikua ni mwendo wa lapa lapa lapa dula dula dula huku anaruka ruka. Nlicheka sana. Ila niang alinikera sana siku ile, katuzingua kinoma, afu hakumtendea haki lapa kumpokonya mpira kwa nguvu vile, na mbaya zaidi akakosaSipati picha ile game ya juzi vs crotone lapa lapa supa lapadula alipotupia goli la ushindi baada ya dogo Niang kuzingua, huyu mzee alichizikaje aisee. Maana dogo mwenyewe lapa kama alichizika flani hivi
Hahahahahaaa, crudelli alichizika kweli mkuu. Baada ya game tuu nkatafuta video yake, ilikua ni mwendo wa lapa lapa lapa dula dula dula huku anaruka ruka. Nlicheka sana. Ila niang alinikera sana siku ile, katuzingua kinoma, afu hakumtendea haki lapa kumpokonya mpira kwa nguvu vile, na mbaya zaidi akakosa
Ac milan ana jitahidi kurud hata kwmy ligi now n watatu huyo inter sio wa kurudi leo wala keshoAc Milan na intemilan nataman sana hz tim zirud kwny
ibora wao na zje UEFA
Kuna watangazaji wengi vichaa kwa timu zao
huyu kwa Ac Milan kichaa humpanda haswaa
Hahahahahaaa, crudelli alichizika kweli mkuu. Baada ya game tuu nkatafuta video yake, ilikua ni mwendo wa lapa lapa lapa dula dula dula huku anaruka ruka. Nlicheka sana. Ila niang alinikera sana siku ile, katuzingua kinoma, afu hakumtendea haki lapa kumpokonya mpira kwa nguvu vile, na mbaya zaidi akakosa
Duh, kweli milan imebadilika. Yaani hapo hakuna nimjuaye zaidi ya donnaruma na niang.Hahaaaaaa, Niang alikua na perfomance mbaaya sana siku ile sijui siku hizi kakumbwa na nini yule mtoto.
Tuna game ngumu juma tatu ugenini dhidi ya Roma, na dogo anatakiwa a step up sana kwenye hii game, Bonv angekua kapona 100% ningependa ale ubavu alafu huyu dogo apumzike kwanza.
BTW nadhani kikosi kitakua hivi
Donna
Abate - Paletta - Romagnoli - Antonelli
Pasalic - Locatelli - Jack
Suso - LapaGol - Niang
Genk ipi au ile iliyopigwa 6Sassuolo iliyogongwa na Genk 2 bila
.
[emoji23] [emoji23]