Mkuu inaonekana umeanza kushabikia mpira miaka ya karibuni. Ac milan ndio timu ya pili kwa mafanikio kwa michuano ya yote ya ulaya ukiachana na michuano ya nchini italy. Ikiongozwa na madrid yenye jumla ya makombe 19, ac milan imechukua makombe 17 ya ulaya. Siasa na ukata ndio iliyoiharibia timu.Hawa ac milan wanaopigwa had na sassuolo?
Hiyo hiyo Mkuu..... Nenda kufuatilia matokeo ya mtanange huo kama una shaka na hilo..Genk ipi au ile iliyopigwa 6
Hata Notigham Forest alicheza mechi 50 bila kufungwa ila Leo yuko wap??Mkuu inaonekana umeanza kushabikia mpira miaka ya karibuni. Ac milan ndio timu ya pili kwa mafanikio kwa michuano ya yote ya ulaya ukiachana na michuano ya nchini italy. Ikiongozwa na madrid yenye jumla ya makombe 19, ac milan imechukua makombe 17 ya ulaya. Siasa na ukata ndio iliyoiharibia timu.
Hahaaaa mkuu inakuaje unawajua akina donna na niang alafu akina suso huwafahamu??Duh, kweli milan imebadilika. Yaani hapo hakuna nimjuaye zaidi ya donnaruma na niang.
Achana na hao watoto wa juzi walioanza kuangalia mpira sababu ya betting,Mkuu inaonekana umeanza kushabikia mpira miaka ya karibuni. Ac milan ndio timu ya pili kwa mafanikio kwa michuano ya yote ya ulaya ukiachana na michuano ya nchini italy. Ikiongozwa na madrid yenye jumla ya makombe 19, ac milan imechukua makombe 17 ya ulaya. Siasa na ukata ndio iliyoiharibia timu.
Saivi kuna watoto wapo vyema tu, ngoja wapikwe vizuri utawaona wakina nesta na gatuso wapyaMillan ya sasa iko gonjwa, naimiss ile millan ya akina genaro
Game ni ngumu kweli, na ni muhimu sana maana kwa sasa tuna point sawa na roma, na game inayofuata wanapiga na juve. Juve pia sina uhakika kama atapata matokeo weekend hii ugenini kwa torino ya mihajlovic.Hahaaaaaa, Niang alikua na perfomance mbaaya sana siku ile sijui siku hizi kakumbwa na nini yule mtoto.
Tuna game ngumu juma tatu ugenini dhidi ya Roma, na dogo anatakiwa a step up sana kwenye hii game, Bonv angekua kapona 100% ningependa ale ubavu alafu huyu dogo apumzike kwanza.
BTW nadhani kikosi kitakua hivi
Donna
Abate - Paletta - Romagnoli - Antonelli
Pasalic - Locatelli - Jack
Suso - LapaGol - Niang
Tena mkuu madrid washkuru sana uefa walizochkua mara mbili hivi karibuni, ila tulikua mbele yao na milan ndo tulikua the most successful club in europe, na ya pili kidunia nyuma ya al ahly in terms of international trophiesMkuu inaonekana umeanza kushabikia mpira miaka ya karibuni. Ac milan ndio timu ya pili kwa mafanikio kwa michuano ya yote ya ulaya ukiachana na michuano ya nchini italy. Ikiongozwa na madrid yenye jumla ya makombe 19, ac milan imechukua makombe 17 ya ulaya. Siasa na ukata ndio iliyoiharibia timu.
Hahaaaa mkuu inakuaje unawajua akina donna na niang alafu akina suso huwafahamu??
Achana na hao watoto wa juzi walioanza kuangalia mpira sababu ya betting,
Millan inarudi mkuu usihofu kwa hilo ni upepo tu ulipita mwakani tunarudi rasmi kukichafua ulaya.
forzamillan
Crazy fansKuna watangazaji wengi vichaa kwa timu zao
huyu kwa Ac Milan kichaa humpanda haswaa
Bila shaka generation ya wakina pilro chini ya Don Carlo Anceloti ilikuwa best kabisa na sidhani kama itakuja tokea tena ndani ya sansirro
Roma inafungika mkuu, japokua hatuna history nzuri na uwanja wao miaka ya hivi karibuni lakini nina imani paletta anauwezo wa kumficha vzr tu dzeko, kulikua na habari kwamba strootman hatacheza ila naona hukumu yake wame i-cancell hivo atakuwepo,Game ni ngumu kweli, na ni muhimu sana maana kwa sasa tuna point sawa na roma, na game inayofuata wanapiga na juve. Juve pia sina uhakika kama atapata matokeo weekend hii ugenini kwa torino ya mihajlovic.
Kikosi kipo hivyo kweli mkuu, isipokua hapo tu kwa antonelli nimeona de sciglio ndo ataanza. Pia tutammiss sana kucka j3.
Nlitamani sana kuona niang asugue benchi, na pale mbele akae bona, lapa na suso, hiyo ingetufanya kua na makali sana mbele, ila ndo hivyo ishu itakua nani wa kucheza LM maana sosa ni chenga tu, na bertolaci sina uhakika kama yupo fiti tayari.
Umenena vyema sana mkuu Legeza MwendoRoma inafungika mkuu, japokua hatuna history nzuri na uwanja wao miaka ya hivi karibuni lakini nina imani paletta anauwezo wa kumficha vzr tu dzeko, kulikua na habari kwamba strootman hatacheza ila naona hukumu yake wame i-cancell hivo atakuwepo,
Wasi wasi wangu ni upande wa midfielders, hapa ndio patakapo amua huu mchezo tuombe suso aje awe na siku nzuri siku hyo lakini upande wa backline yetu nina imani nayo.
Kuhusu yule kibonge raiola kuwa agents wa bona na donna hii nayo sio nzuri ukiangalia madrid wanamnyemelea donna +uhusiano wake na madrid, but naamini donna hawezi akaondoka kwa sasa san siro bado anahitaji muda mwingi sana wa kujifunza.
Roma wanafungika game yao na atalanta wamefungwa kizembe sana japo walikuwa wanaongoza goli moja. Niang siku game likimkalia vizuri anatulia ila mara nyingi anakuwa mapepe sana hatulii akafanya maamuzi mazuri. Ni kuomba awe na game nzuri maana hamna namna lazima atachezeshwa tu.Roma inafungika mkuu, japokua hatuna history nzuri na uwanja wao miaka ya hivi karibuni lakini nina imani paletta anauwezo wa kumficha vzr tu dzeko, kulikua na habari kwamba strootman hatacheza ila naona hukumu yake wame i-cancell hivo atakuwepo,
Wasi wasi wangu ni upande wa midfielders, hapa ndio patakapo amua huu mchezo tuombe suso aje awe na siku nzuri siku hyo lakini upande wa backline yetu nina imani nayo.
Kuhusu yule kibonge raiola kuwa agents wa bona na donna hii nayo sio nzuri ukiangalia madrid wanamnyemelea donna +uhusiano wake na madrid, but naamini donna hawezi akaondoka kwa sasa san siro bado anahitaji muda mwingi sana wa kujifunza.
Hahahaaaaaa mimi huwa nachizika lakini Mzee kanizidi aiseee
Nimecheka sana goal la Thiago Silva kusawazisha dhidi ya Barcelona
Kawakumbatia watu wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23]