Game ni ngumu kweli, na ni muhimu sana maana kwa sasa tuna point sawa na roma, na game inayofuata wanapiga na juve. Juve pia sina uhakika kama atapata matokeo weekend hii ugenini kwa torino ya mihajlovic.
Kikosi kipo hivyo kweli mkuu, isipokua hapo tu kwa antonelli nimeona de sciglio ndo ataanza. Pia tutammiss sana kucka j3.
Nlitamani sana kuona niang asugue benchi, na pale mbele akae bona, lapa na suso, hiyo ingetufanya kua na makali sana mbele, ila ndo hivyo ishu itakua nani wa kucheza LM maana sosa ni chenga tu, na bertolaci sina uhakika kama yupo fiti tayari.