saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
KUNDI la Viana la TK Movement linalofadhiliwa na kulipwa mshahara na Mheshimiwa Huseni Bashe kwa ajili ya kujipanga na mambo ya 2025 (kumzunguka Samia) mbona mko kimya kumsaidia kujibu tuhuma zinazomkabili za kashfa ya kutoa vibali vya sukari kwa kampuni za steshenari na kuuza simu za itel.
Nyie ndio wanufaika wakubwa wa mapato aliyopata bashe kwenye dili za vibali vya sukari kwa kampuni ambazo haziruhusiwi kisheria kuagiza sukari lakini kwa ujasiri mkubwa bashe akawapa vibali kashfa ambayo inamyima usingizi kwa sasa.
Swali kubwa je TK Movement iliyoko ngazi za wilaya na mikoa kwa nini hadi leo hamjatoa tamko la kumtetea Bashe? juu ya tuhuma za ufisadi wa zaidi ya bilioni 500?