Wangrata haki etsa haki etsa so,
Wangrata haki etsa haki dlala so
Tokollo,kabelo na zwai.Miaka flani ya late 1990s to early 2000s hawa jamaa walitisha na kwaito yao.
Naskia waliwin Grammy ka sikosei.Ila kundi lao lilivunjika sijui sababu ni nini.Kabelo nilikuwa namwona chanel O.Zwai producer.Shibobo dlala mapatsula,palafala zilinikuna sana.
Walikosea wapi?Sababu ya kufa kwa kundi lao unafananisha ni sawa na za makundi gan bongo?
Lakini mi naona kama mafikizolo wako kwenye game muda mrefu na wako tight sababu wanakaa kimya na wakitoa wametoa inahitBest group to ever emerge frm SA ni SKWATTA CAMP.
siyo freshly ground?Best group to ever emerge frm SA ni SKWATTA CAMP.