TKZEE walikosea wapi?

TKZEE walikosea wapi?

MIGUGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,137
Reaction score
3,931
Wangrata haki etsa haki etsa so,
Wangrata haki etsa haki dlala so

Tokollo,kabelo na zwai.Miaka flani ya late 1990s to early 2000s hawa jamaa walitisha na kwaito yao.

Naskia waliwin Grammy ka sikosei.Ila kundi lao lilivunjika sijui sababu ni nini.Kabelo nilikuwa namwona chanel O.Zwai producer.Shibobo dlala mapatsula,palafala zilinikuna sana.

Walikosea wapi?Sababu ya kufa kwa kundi lao unafananisha ni sawa na za makundi gan bongo?
 
Kulewa sifa
Kukosa malengo
Mahusiano
mmoja kujiona bora kuliko wengine
 
Kabelo Ngakane ndie alikuwa channel o, na Kabelo Mabalane alikuwa group la Tkzee.
 
Nilikuwa nawakubali sana hao watu,kupotea kwao kwenye game kumenisikitisha sana
 
Kabelo Ngakane ndie alikuwa channel o, na Kabelo Mabalane alikuwa group la Tkzee.

Ok.Thanx.Tatizo ilikuwa ubinafsi wa kila mtu kuwa Solo ama ni nini?
 
Wangrata haki etsa haki etsa so,
Wangrata haki etsa haki dlala so

Tokollo,kabelo na zwai.Miaka flani ya late 1990s to early 2000s hawa jamaa walitisha na kwaito yao.

Naskia waliwin Grammy ka sikosei.Ila kundi lao lilivunjika sijui sababu ni nini.Kabelo nilikuwa namwona chanel O.Zwai producer.Shibobo dlala mapatsula,palafala zilinikuna sana.

Walikosea wapi?Sababu ya kufa kwa kundi lao unafananisha ni sawa na za makundi gan bongo?

Usichanganye kabello Yule mwenye rasta wa channel O na kabello wa tkzee ni Watu tofauti.
 
Mimi mshamba sielewi

b1a5f8222dc7bb257cea4c9b73671062.jpg
 
Nakumbuka kuna show yao moja walipiga wamevaa suti wote wanaimba hit song yao Wangrataa ilikua ni balaa" Tkzee
 
Tkzee walitisha sana, wangrataa, shibobo na ngoma moja nimeisahau walipiga wapo uwanjani dah
 
Back
Top Bottom