Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Hakuna chama cha wanasheria hapa, heshima imeshuka sana katika taasisi hii.
Hiki chama kimegeuka kuwa chama cha siasa na mm ntafurahi sana huyo Mwabukusi mnayedhani ataleta mabadiliko awe Rais wa hicho chama kipya cha siasa nchini kilichojificha kwenye mwamvuli wa chama cha kitaaluma.
Mwabukusi ni nani? Ameshindwa Lissu, ameshindwa msomi Nshalla ndio aje aweze huyo msanii.
Uongozi ni hekima, busara, hoja.