TLS isajiliwe kama chama cha siasa tujue moja

Wewe umesomea sheria au unga unga unga na mwana?
 
Naona unaumia kusikia Mwabukusi anaweza kushinda. Pole sana.
 
Kwani tatizo nini mbona unatoa povu kama umesukutua omo bila kueleza chochote au tayari wadudu wameshafika utosini maana CD4 zikishuka sana ngoma lazima igote kichwani.
Usitukane wakunga
 
Kwahyo Tatzo ni mwabukusi na Sio TLS
 
Wote Wana vyama vyao
 
Sijajua kwann kamtaja Mwabukusi tu wa CCM hajamwona? Wale wengine je? Na hata hivyo sijawahi kusikia kama Mwabukusi ni mwanachama wa Chadema ila anaunga juhudi za Chadema za kutetea raslimali
 
Oops kumbe mnafanya mfanyayo kwa sababu mna immunity?
 
Watanzania wengi sio wazalendo wanawapinga wale wanaotetea mali za Umma kuibwa na hii inatokana na wengi wao kuishi kwa kutegemea mali za kuibwa kutoka kwa Wananchi..
 
Mkuu siku hizi kubeba makopo sio dalili za ukichaa ,hiyo ni kazi halali ya wenye uthubutu!
 
Hivi hawa wao huwa wanafanya uchaguzi kila mwaka? Kwa nini?
 

..mnataka Raisi wa TLS anayepakatwa kama mtoto mdogo na serikali.

..TLS iko hivyo ilivyo kutokana na watawala wa hovyo-hovyo wa nchi yetu.
 
Kwani majukumu ya tls ni nini?Je mwabukusi ni member tls?

Majukumu ya TLS ni
To represent, protect and assist members of the legal profession in Tanzania as regards to conditions of practice and otherwise; To protect and assist the public in Tanzania in all matters touching, ancillary or incidental to the law.

Mwabukusi ni Member wa TLS mwenye haki na Vigezo vya kuwa KIONGOZI.So Shida iko wapi?
 
Wewe ni mwanasheria? Wewe ni mwanachama wa TLS? Kama majibu ni ndiyo basi Tieloesi haina maana tena kwa mstakabali wa taifa na wanachama wake.
 
... kwamba kuna baadhi ya binadamu wenye roho mbaya...
Umepiga hapo. 🥁🎺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…