Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Usijali mkuuKwani si tunaambiwaga kuwa ukitaka kuelewa mada anzia na comments sasa vipi tena mnamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali mkuuKwani si tunaambiwaga kuwa ukitaka kuelewa mada anzia na comments sasa vipi tena mnamu
Mkuu TheMaster, usiwe na wasiwasi kabisa na Mwambukusi on TLS, wanasheria tuko gado, Mwambukusi tunamjua fika Hakuna Ubishi Mwabukusi ni Mwanaharakati, Je TLS Yake Iwe ya Kiharakati, Au Asilete Harakati Zake kwenye TLS Yetu, Ibaki Kuwa Profesheno Body? na tumemshauri Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.Habari wanajukwaa,
Jina la mwambukusi liliibuka zaidi kipindi cha sakata la Mkataba wa Bandari na DP WORLD akijinasibu kuwa yeye ni Mwanaharakati na mtetezi wa Rasilimali za Tanganyika.
Je, mwambukusi anaeipeleka TLS kuwa chama cha Siasa?
Ushashuhudia wapi hili likitokea? 😆😆😜Mwabukusi presha yake iko juu sana usishangae ukakuta anapigana na ukuta kisa amejikwaa kwenye kona
Dogo Kuna shida Gani kama anatetea haki za watu?Habari wanajukwaa,
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Raisi wa TLS na Mwanasheria mbobezi kwa jila maarufu la MWAMBUKUSI.
Kihistoria Mwambukusi inasemekana aliwahi kuwa mwanachama wa chama cha NCCR-Mageuzi lakini kwa kauli yake alikiri kuwa alijivua uanachama NCCR baada ya kuona mambo hayaeleweki kwa upande wake.
Jina la mwambukusi liliibuka zaidi kipindi cha sakata la Mkataba wa Bandari na DP WORLD akijinasibu kuwa yeye ni Mwanaharakati na mtetezi wa Rasilimali za Tanganyika.
Huwenda kupaa kwa jina la mwambukisi kipindi cha sakata la bandari ndio chachu ya Mwanasheria huyu kujikita zaidi kunako siasa na hata kijitweza ktk kinyang’anyiro cha kugombea nafasi ya Urais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) na kushinda. Hongera kwake
Nikifatilia hotuba pamoja na kauli za kiongozi huyu mpya wa TLS napata wasiwasi kwamba huwenda TLS imebadilisha hadidu za rejea na kuwa ni chama cha siasa tena chenye lengo mama la kuiondosha CCM madarakani kupitia mgongo wa sheria.
Mwambukusi amekuwa akitoa kauli zenye kudhihirisha kejeli kwa serikali na CCM, dharau na hata vitisho kwa watawala na kuonesha kuwa TLS itasimama kidete ikiwezekana kutoa msaada wa kisheria kwa wote wanaohisi kuonewa na watala.
Mwambukusi alifikia hatua ya kutishia kuwa kama Rais wa TLS anaweza kuanzisha mgomo na maandamano endapo Serikali haitatii matakwa ya TLS.
Nadhani TLS ni jumuiya ya mawakili Tanzania na ni kama Jumuiya zingine mfano chama cha walimu Tanzania (CWT) au chama cha madaktari Tanzania (MAT) na wala sio Muhimili wa kuweza kuiwajibisha serikali au kushawishi wananchi kufanya chochote dhidi ya kitu chochote kwasababu TLS ina wajibu kwa mawakili ndani ya jumuiya yao na sio nje ya wanajumuiya wake.
Je, mwambukusi anaeipeleka TLS kuwa chama cha Siasa?
Ahsante sana mkuuMkuu TheMaster, usiwe na wasiwasi kabisa na Mwambukusi on TLS, wanasheria tuko gado, Mwambukusi tunamjua fika Hakuna Ubishi Mwabukusi ni Mwanaharakati, Je TLS Yake Iwe ya Kiharakati, Au Asilete Harakati Zake kwenye TLS Yetu, Ibaki Kuwa Profesheno Body? na tumemshauri Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.
Kwa my quick assessment, Mwambukusi is on the right track.
P
Kwanini umetumia avatar ya Hangaya?Habari wanajukwaa,
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Raisi wa TLS na Mwanasheria mbobezi kwa jina maarufu la
Adv. Boniface Mwabukusi.
Kihistoria Mwambukusi inasemekana aliwahi kuwa mwanachama wa chama cha NCCR-Mageuzi lakini kwa kauli yake alikiri kuwa alijivua uanachama NCCR baada ya kuona mambo hayaeleweki kwa upande wake.
Jina la Mwabukusi liliibuka zaidi kipindi cha sakata la Mkataba wa Bandari na DP WORLD akijinasibu kuwa yeye ni Mwanaharakati na mtetezi wa Rasilimali za Tanganyika.
Huwenda kupaa kwa jina la Mwabukusi kipindi cha sakata la bandari ndio chachu ya Mwanasheria huyu kujikita zaidi kunako siasa na hata kijitweza katika kinyang’anyiro cha kugombea nafasi ya Urais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) na kushinda. Hongera kwake
Nikifatilia hotuba pamoja na kauli za kiongozi huyu mpya wa TLS napata wasiwasi kwamba huwenda TLS imebadilisha hadidu za rejea na kuwa ni chama cha siasa tena chenye lengo mama la kuiondosha CCM madarakani kupitia mgongo wa sheria.
Mwambukusi amekuwa akitoa kauli zenye kudhihirisha kejeli kwa serikali na CCM, dharau na hata vitisho kwa watawala na kuonesha kuwa TLS itasimama kidete ikiwezekana kutoa msaada wa kisheria kwa wote wanaohisi kuonewa na watala.
Soma Pia: Tushangilie ushindi wa TLS lakini tusitegemee mabadiliko TLS kupitia Mwambukusi; huyu ni mwanasystem kindakindaki
Mwabukusi alifikia hatua ya kutishia kuwa kama Rais wa TLS anaweza kuanzisha mgomo na maandamano endapo Serikali haitatii matakwa ya TLS.
Nadhani TLS ni jumuiya ya mawakili Tanzania na ni kama Jumuiya zingine mfano chama cha walimu Tanzania (CWT) au chama cha madaktari Tanzania (MAT) na wala sio Muhimili wa kuweza kuiwajibisha serikali au kushawishi wananchi kufanya chochote dhidi ya kitu chochote kwasababu TLS ina wajibu kwa mawakili ndani ya jumuiya yao na sio nje ya wanajumuiya wake.
Je, Mwabukusi anaeipeleka TLS kuwa chama cha Siasa?
😄 🤣 😂 😆 hii kujifariji haitawasaidia mkuu hamna cha chairman wala deputy ngoma imewakalia vibaya sana hii aibu yenu listi itakapoanikwaactually chairman na genge lake la kazi, wanaweweseka kumzuia kiongozi mwenzao asiendelee na hiyo kesi na its too late dah..
INASIKITISHA sana, inatia uchungu sana 🐒
Faraja na ujasiri wa mwanaume kamili iko mfukoni gentleman,😄 🤣 😂 😆 hii kujifariji haitawasaidia mkuu hamna cha chairman wala deputy ngoma imewakalia vibaya sana hii aibu yenu listi itakapoanikwa
Mtaomba ardhi ipasuke. London sio kisutu
Mkuu subiri ndege zianze kukamatwa maana mboga mboga bila shuruti hamzinduki london sio kistu. Things will be done openly just be prepared to swallow to shameFaraja na ujasiri wa mwanaume kamili iko mfukoni gentleman,
hii sijui London ama nini ni kitu bure tu hakuna mtu timamu anaweza babaika nayo ispokua waandamizi pale kamati kuu Chadema 🐒
hakuna kubabaika na porojo na stori za pata potea za omba omba kana kwamba ataonewa huruma achangiwe chochote kitu tena 🤣Mk
Mkuu subiri ndege zianze kukamatwa maana mboga mboga bila shuruti hamzinduki london sio kistu. Things will be done openly just be prepared to swallow to shame
Ili kuonesha kwamba wewe ni GT na umefuatilia kwa makini kauli na matamko ya Mwabukusi President wa TLS, Ni vyema sana ukatambua kwamba ulikua na wajibu wa kuweka mizania katika hoja zako ambazo umeonesha hitimisho katika aya yako ya mwisho ukiifananisha na vyama vingine vya Kitaaluma.Habari wanajukwaa,
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Raisi wa TLS na Mwanasheria mbobezi kwa jina maarufu la
Adv. Boniface Mwabukusi.
Kihistoria Mwambukusi inasemekana aliwahi kuwa mwanachama wa chama cha NCCR-Mageuzi lakini kwa kauli yake alikiri kuwa alijivua uanachama NCCR baada ya kuona mambo hayaeleweki kwa upande wake.
Jina la Mwabukusi liliibuka zaidi kipindi cha sakata la Mkataba wa Bandari na DP WORLD akijinasibu kuwa yeye ni Mwanaharakati na mtetezi wa Rasilimali za Tanganyika.
Huwenda kupaa kwa jina la Mwabukusi kipindi cha sakata la bandari ndio chachu ya Mwanasheria huyu kujikita zaidi kunako siasa na hata kijitweza katika kinyang’anyiro cha kugombea nafasi ya Urais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) na kushinda. Hongera kwake
Nikifatilia hotuba pamoja na kauli za kiongozi huyu mpya wa TLS napata wasiwasi kwamba huwenda TLS imebadilisha hadidu za rejea na kuwa ni chama cha siasa tena chenye lengo mama la kuiondosha CCM madarakani kupitia mgongo wa sheria.
Mwambukusi amekuwa akitoa kauli zenye kudhihirisha kejeli kwa serikali na CCM, dharau na hata vitisho kwa watawala na kuonesha kuwa TLS itasimama kidete ikiwezekana kutoa msaada wa kisheria kwa wote wanaohisi kuonewa na watala.
Soma Pia: Tushangilie ushindi wa TLS lakini tusitegemee mabadiliko TLS kupitia Mwambukusi; huyu ni mwanasystem kindakindaki
Mwabukusi alifikia hatua ya kutishia kuwa kama Rais wa TLS anaweza kuanzisha mgomo na maandamano endapo Serikali haitatii matakwa ya TLS.
Nadhani TLS ni jumuiya ya mawakili Tanzania na ni kama Jumuiya zingine mfano chama cha walimu Tanzania (CWT) au chama cha madaktari Tanzania (MAT) na wala sio Muhimili wa kuweza kuiwajibisha serikali au kushawishi wananchi kufanya chochote dhidi ya kitu chochote kwasababu TLS ina wajibu kwa mawakili ndani ya jumuiya yao na sio nje ya wanajumuiya wake.
Je, Mwabukusi anaeipeleka TLS kuwa chama cha Siasa?
Hahahahahaha kaaa kwa kutulia kaka mambo no f🔥 london kumekucha mwandaeni bashite kujibu tuhumu kama Bosco Ntaganda. Mmevuliwa nguo awamu hii hamna pa kutokeahakuna kubabaika na porojo na stori za pata potea za omba omba kana kwamba ataonewa huruma achangiwe chochote kitu tena 🤣
Operations za ndege za Tanzania duniani haziwezi kwa namna yoyote kutatizwa wala kuzuiwa na mtu asie sawa physically and mentally 🐒
hayupo wa kumvua yeyote kofia wala shati gentleman, hata kama kuna kutumia ushirikina na ramli 🐒Hahahahahaha kaaa kwa kutulia kaka mambo no f🔥 london kumekucha mwandaeni bashite kujibu tuhumu kama Bosco Ntaganda. Mmevuliwa nguo awamu hii hamna pa kutokea
Kila kitu ni mwarabu wewe ngedere! Waarabu ni mandezi sana na roho katili sana!"Mwambukusi?"
Ndio nani? Au ulimaanisha Mwabukusi?
Mtavuliwa hadi pichu na safari hii pichu imekaa upande 😄 🤣 😂 mnalohayupo wa kumvua yeyote kofia wala shati gentleman, hata kama kuna kutumia ushirikina na ramli 🐒
endeleeni na maigizo kwenye media na ushirikina wenu 🐒Mtavuliwa hadi pichu na safari hii pichu imekaa upande 😄 🤣 😂 mnalo
👌👍🤝🙏Dogo Kuna shida Gani kama anatetea haki za watu?
Au wew unakerwa na harakati za kutetea Haki za wananchi