TLS Kuwa chama kipya cha siasa chini ya Mwabukusi

akiweza itakuwa bora hata ccm Babu yake alikuwa chama cha starehe na anasa.
 
Habari wanajukwaa,

Jina la mwambukusi liliibuka zaidi kipindi cha sakata la Mkataba wa Bandari na DP WORLD akijinasibu kuwa yeye ni Mwanaharakati na mtetezi wa Rasilimali za Tanganyika.

Je, mwambukusi anaeipeleka TLS kuwa chama cha Siasa?
Mkuu TheMaster, usiwe na wasiwasi kabisa na Mwambukusi on TLS, wanasheria tuko gado, Mwambukusi tunamjua fika Hakuna Ubishi Mwabukusi ni Mwanaharakati, Je TLS Yake Iwe ya Kiharakati, Au Asilete Harakati Zake kwenye TLS Yetu, Ibaki Kuwa Profesheno Body? na tumemshauri Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.

Kwa my quick assessment, Mwambukusi is on the right track.

P
 
Dogo Kuna shida Gani kama anatetea haki za watu?

Au wew unakerwa na harakati za kutetea Haki za wananchi
 
Kwanini umetumia avatar ya Hangaya?

Anyway,

Tanganyika Law Society Duties and Responsibilities (ROLES)
1. To create a conducive environment for the legal fraternity
2. Facilitate the acquisition of legal knowledge,
3. To represent, protect, and assist members of the legal profession in Tanzania as regards conditions of practice and otherwise; To protect and assist the public in Tanzania in all matters touching, ancillary, or incidental to the law
4. To support the State Organs in legislation and administration of rule of law, and assist the Public to access justice in sustainable professional standards;
5. It makes and enforces the rules that solicitors and organizations regulated by the SRA must follow. It works in the public interest to uphold the regulatory objectives of the Legal Services Act.
 
actually chairman na genge lake la kazi, wanaweweseka kumzuia kiongozi mwenzao asiendelee na hiyo kesi na its too late dah..

INASIKITISHA sana, inatia uchungu sana πŸ’
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† hii kujifariji haitawasaidia mkuu hamna cha chairman wala deputy ngoma imewakalia vibaya sana hii aibu yenu listi itakapoanikwa
Mtaomba ardhi ipasuke. London sio kisutu
 
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† hii kujifariji haitawasaidia mkuu hamna cha chairman wala deputy ngoma imewakalia vibaya sana hii aibu yenu listi itakapoanikwa
Mtaomba ardhi ipasuke. London sio kisutu
Faraja na ujasiri wa mwanaume kamili iko mfukoni gentleman,

hii sijui London ama nini ni kitu bure tu hakuna mtu timamu anaweza babaika nayo ispokua waandamizi pale kamati kuu Chadema πŸ’
 
Mk
Faraja na ujasiri wa mwanaume kamili iko mfukoni gentleman,

hii sijui London ama nini ni kitu bure tu hakuna mtu timamu anaweza babaika nayo ispokua waandamizi pale kamati kuu Chadema πŸ’
Mkuu subiri ndege zianze kukamatwa maana mboga mboga bila shuruti hamzinduki london sio kistu. Things will be done openly just be prepared to swallow to shame
 
Mk

Mkuu subiri ndege zianze kukamatwa maana mboga mboga bila shuruti hamzinduki london sio kistu. Things will be done openly just be prepared to swallow to shame
hakuna kubabaika na porojo na stori za pata potea za omba omba kana kwamba ataonewa huruma achangiwe chochote kitu tena 🀣

Operations za ndege za Tanzania duniani haziwezi kwa namna yoyote kutatizwa wala kuzuiwa na mtu asie sawa physically and mentally πŸ’
 
Ili kuonesha kwamba wewe ni GT na umefuatilia kwa makini kauli na matamko ya Mwabukusi President wa TLS, Ni vyema sana ukatambua kwamba ulikua na wajibu wa kuweka mizania katika hoja zako ambazo umeonesha hitimisho katika aya yako ya mwisho ukiifananisha na vyama vingine vya Kitaaluma.

Kuweka mizania ilipaswa uje na sheria ya Bunge ya Uanzishwaji wa TLS na hizo jumuiya nyingine ulizozitaja na namna sheria hiyo ya bunge inavyoielekeza TLS Katika kutekeleza majukumu yake isjihusishe na maswala ya siasa hata kidogo bali huduma kwa wanachama wake kama Chama Cha Waalimu.

Sambamba na hilo ni vyema ungeonesha mizania ilielemea upande mmoja ikionesha ni kwa namna gani TLS imejinasibisha na siasa moja kwa moja kwa maana ya kuwa chama cha siasa kwa maana ya kuonesha nia ya kutaka kusajiliwa na msajili wa vyama vya siasa kwa maana ya kukusanya wadhamini, kuwa na bendera yake na hata kunadi sera zake ambazo zitasababishwa uungwaji mkono na wananchi.

Kukuwekea kumbukumbu sawa ni Kwamba Lissu alishakuwa Rais wa chama hicho lakini hakuna siku imeonekana kwamba lisu alitarajia kuiunganisha CHADEMA na TLS ili kukifanya kuwa chama cha siasa. Uwe na unajifunza kupresent opinion kwenye public.
 
Hahahahahaha kaaa kwa kutulia kaka mambo no fπŸ”₯ london kumekucha mwandaeni bashite kujibu tuhumu kama Bosco Ntaganda. Mmevuliwa nguo awamu hii hamna pa kutokea
 
Hahahahahaha kaaa kwa kutulia kaka mambo no fπŸ”₯ london kumekucha mwandaeni bashite kujibu tuhumu kama Bosco Ntaganda. Mmevuliwa nguo awamu hii hamna pa kutokea
hayupo wa kumvua yeyote kofia wala shati gentleman, hata kama kuna kutumia ushirikina na ramli πŸ’
 
ALishasema kwamba TLS inafanya kazi katika nyanja zote kuanzia siasa,uchumi,jamii etc
 
Ajabu kila siku matamko bila kufuata taratibu za TLS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…