TLS Kuwa chama kipya cha siasa chini ya Mwabukusi

Je! Ni ipi kazi ya tls? Na Ni ipi kazi ya vyama vya upinzani inchini?
 
Tulia, ndo kwanza wiki ya pili tangu aanze kazi
 
Chiruba aliwahi kuwa Rais wa vyama vya wafanyakazi, baada ya moto kukolea alikuja kuwa Rais wa Zambia....Hakuna kisichowezekana ni mipango tu ya wanadamu. 😆
 
CWT ni trade union, TLS sio trade union.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…