TLS KWANINI MNATUCHAJI KWA DOLA

TLS KWANINI MNATUCHAJI KWA DOLA

Chagga King

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
1,866
Reaction score
1,076
Tanganyika Law Society (TLS)

Nyie wenyewe mnalalamika kuwa Law firms zinawachaji wateja wake kwa USD na mna discourage hiyo, mbona kwenye fees zenu mnaendelea ku encourage matumizi ya USD currency, tena nyie mkiwa kama public institution, je, hamuoni kama huku ni kuidharau shilingi na kuepelekea kuiua kabisa?

Sisi tunakutana na wateja mbalimbali, kutoka nchi mbalimbali so hata tukiwachaji kwa USD ni sawa, lakini nyie mnakutana na sisi waTanzania, why not Tanzanian shilling?
 
Back
Top Bottom