PreGE2025 TLS, LHRC mlikwama wapi kujiandaa mapema wananchi wapate taarifa kesi ya Lissu wakati tulitegemea figisu zitokee? Bado mnaishi mwaka 47!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

TLS, LHRC msituambie hamkutegemea haya kutokea ili mkajipanga na plan B, C, D hata Z ikiwezekana? Yaani mlitegemea serikali itakaa tu kimya ili mambo yaende vizuri na taarifa zipatikane bila shida?

Mkaona account za mitandao ya kijamii za CHADEMA zimedukuliwa mkatulia kusubiri na leo wanyooshe? Aloo, tunahitaji kwendana na kasi ya mambo yanavyoenda, wekeni na Gen Z kwenye hayo majopo yenu, ujana haimaanishi watu hawana busara, plus wana ujuzi mpya ambao majority huko hamna. Mnakuwa kama CHADEMA ambao miaka nenda rudi wanafanya mambo yale yale na kutegemea matokeo tofauti!
 
Expecting results from what you
 
We na muriro mnatofauti gani kuingilia mahakama kama wadangaji
Kumbe kutoa taarifa kwa wananchi ni kuingilia Mahakama? Wacha bana! Mwenyewe unaona umeweka jiweeee?!
 
Mnakuwa kama CHADEMA ambao miaka nenda rudi wanafanya mambo yale yale na kutegemea matokeo tofauti!
Hio ilikuwa CDM ya mwamba, TAL amekuja kivingine hadi CCM wanajisachi mfukoni, sijui wamesahau nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…