sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Chama cha wanasheria mnasubiri TL afe?
Mbona hatusikiii harakati zenu katika kunusuru hali ya Tundu Antipasi Lisu?
Mnasubiri afe mje na matamko?
Ninataka kujua mmechukua hatua gan tangu tukio limetokea?
Je mmeshindwa kufungua kesi dhidi ya wasio julikana kumshambulia rais wenu? Ilisiku wakijulikana wakutane na mkono wa sheria?
Katika gharama za matibabu mmejipangaje mawakili?
Au mwasubiri afe mvae manguo yenu na kumzika kwa mbwembwe?
Sent using Jamii Forums mobile app