TLS ni chama cha wanasheria kweli? TLS Wanajua maana ya siasa za biashara

Let's be seriously kidogo Jamani. Kwa hiyo anayekuja kuvuna Rasilimali zako ndio anakupangia Masharti tena!!.
 
NImekuja mbio ili nione msomi wa sheria kutoka Ntwara anakavyochambua sheria kuliko hao TLS kumbe ni zaidi ya ujinga tu.
 
Kwani analazimishwa kuwekeza si akawekeze kwao? Nenda ukawekeze Dubai ama Ulaya kama hutatumia sheria zao! Uwe unafikiria nje ya box mkuu!!
 
Wewe ndo umechambua km mtoto wa secondary sio wao.
 
Huo ni mtazamo wako. Muhimu hatutaki Bandari yetu kuuzwa
 
Wewe kweli hamnazo!!
 
Utaambulia matusi Tu humu
 
Let's be seriously kidogo Jamani. Kwa hiyo anayekuja kuvuna Rasilimali zako ndio anakupangia Masharti tena!!.
Yes, hao wajinga ndivyo walivyofanya kwenye ule mkataba wa hovyo wa bandari.

Iko hivi, mbali na kuwajuza waarabu juu ya fursa zote za kiuchumi zitakazojitokeza, mwarabu akitaka eneo lolote kwenye ardhi ya Tanganyika, serikali yetu ndio itahusika kuingia gharama zote, kuwatengenezea mazingira waarabu, ili wao wakija wakute kila kitu kipo tayari.
 
Lice at his finest!!
 

..kuna makubaliano kati ya Tanzania na Dubai.

..kwa msingi huo kila upande unatoa mapendekezo / masharti na kama kuna kukubaliana hatua inayofuata ni kutia saini.

..suala hili sio sawa na kwenda kuchukua mkopo benki.

..Dubai wana pesa, Tanzania ina bandari. Kwa msingi huo kila upande lazima utoe masharti yake. Sio sahihi kusema Dubai ndio watupe masharti, na Tanzania tuitikie "amina" kwa kila wanalotaka.
 
Nimekwishakueleza hapo juu, wewe huna akili za kujadili jambo lolote la maana na mimi, unanipotezea muda wangu.
 
Nami nilikuwa na mfano mwingine kwa huyo uliyemjibu vizuri.

Anakwenda kupanga nyumba.
Kunakuwepo na makubaliano ya upangaji (mkataba)

Mpangaji analipa kodi ya pango kama mkataba ulivyoelekeza.

Kwa msingi wa aliyoyasema huyo jamaa; kwa vile mpangaji anampa mwenye nyumba pesa ya pango, basi huyo mpangaji ataamua kufanya inavyompendeza yeye bila kujali makubaliano na mwenye nyumba!
Hili lilitokea wapi?

Kwa ujumla, hayo "Makubaliano" kati ya Tanzania na Dubai ni ya kushangaza sana!
 
Umekula ugali dagaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…